Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

=Si unajua tasnia ya bongo fleva/movie/habari wanaenda na trending kupata kiki? Walikuwa wana introduce kitu kipya Ea radio ,ili kupata mileage(coverage/trending) ndio wakaona wampe benz dullah.(Maigizo).

=Hahahahaa Range ipo kwenye Maji si unajua inatokea Japenga ,na meli za kutoka Japenga zinapitia vituo vingi ,itafika tu vuta subira.
Haaaaa Haaaaa 😂 waiting.......
 
huyuuu jamaa katuingiza chakaaa balaa leo mbona nimemsikia

Chaka bovu sana,alitulisha tango pori,dulla aendelee kubaki tu EA radio kulinda heshima yake....Zembwela,David Rwenyagira,Charles William washapotea mazima.
 
Chaka bovu sana,alitulisha tango pori,dulla aendelee kubaki tu EA radio kulinda heshima yake....Zembwela,David Rwenyagira,Charles William washapotea mazima.
Umeongea ukweli, David Rwenyagira alikuwa mchizi wangu kiaina, baada ya kwenda Wasafi hata simu hapokei, dah maidha haya. Ila angebaki tu kwa Drive ndinga mpya town....huko Wasafi kashapotea
 
Umeongea ukweli, David Rwenyagira alikuwa mchizi wangu kiaina, baada ya kwenda Wasafi hata simu hapokei, dah maidha haya. Ila angebaki tu kwa Drive ndinga mpya town....huko Wasafi kashapotea

Washapotea kule.
 
Back
Top Bottom