charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,001 Sep 21, 2014 #61 Aiseee...kila mbuz atakula urefu wa kamba yakee
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,074 Sep 21, 2014 #62 Bahati furaha said: Mkuu, kiyecno changu hakina kitufe cha "LIKE" la ipokee juu kwa ju walahi!!!! Click to expand... hahaha, poa mkuu, nadhani kijana amemaliza chuo mwaka jana, subiri akigraduate mwaka wa tatu mtaani atatamani kazi hata ya ulinzi, tunao wengi mtaani!
Bahati furaha said: Mkuu, kiyecno changu hakina kitufe cha "LIKE" la ipokee juu kwa ju walahi!!!! Click to expand... hahaha, poa mkuu, nadhani kijana amemaliza chuo mwaka jana, subiri akigraduate mwaka wa tatu mtaani atatamani kazi hata ya ulinzi, tunao wengi mtaani!
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Sep 21, 2014 #63 Mmh! Ivi kupata kazi ni haki au ni favour?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Sep 23, 2014 #64 Mkoroshokigoli said: Bulldog nami ndo nimeshangaa,watu wanasema tunaishukuru serikali kwa kutujengea barabara,oooh Click to expand... Kwanini serikali haishukuru wananchi wake kulipa kodi?? Au kutii sheria?? Sisi ni wajibu wetu kufuata sheria ila kupata huduma muhimu ni favour.
Mkoroshokigoli said: Bulldog nami ndo nimeshangaa,watu wanasema tunaishukuru serikali kwa kutujengea barabara,oooh Click to expand... Kwanini serikali haishukuru wananchi wake kulipa kodi?? Au kutii sheria?? Sisi ni wajibu wetu kufuata sheria ila kupata huduma muhimu ni favour.