Tuvumiliane tupo dunianiHatari -- kuna watu wana jua kuumiza mioyo ya wenzao bwana ...
Tena wala hawana wasi wasi
Sure! Maana haiingii akilini kabisa.Huyo atakuwa robot tu sio mwanamke kamili
Weekend hii na mimi nahamia kwakoSasa mzee baba miaka mitatu yote mnaishi pamoja hujawahi kuwa nae hisia tu? Mlikua mnaishi vipi sasa.
Basi mwambie tu ukweli kuwa humhitaji ila utakua na dhambi sana kwa kumtumia muda wote huo.
Effect yake kisheria. Hadi hapo mlipofikia sheria inawatambua kama mmeoana...soma kigungu cha 160(1) cha sheria ya ndoa ila unavyomuacha lazima umpe chochote kitu.
Ushauri wa maana kutoka kwangu wa kidini zaidi We OA bana
Ha ha ha,,wapi huko na lini?Tukiachana, na huo ushauri...jina lako limenikumbusha mtu muhimu sana ambaye tulipotezana ghafla.
Kweli kabisaKosa la kifundi ni wewe kuruhusu kuzaa na mtu ambaye huna mpango nae, na mbali ya hapo kukaa nae kama mke. Chakushangaza zaidi mpaka leo uko nae na unaendelea kumla eti unajizuia kuzaa nae, wakati huo huo unasema una mwanamke eti mna mipango mikubwa.
Nakushauri kama umeweza kuishi nae huyu miaka yote hii na umejiridhisha anakupenda, huyu ndio mkeo, huyo mbaye inaonekana wewe unampenda , yeye hakupendi mpaka kukuruhusu uishi na mke mwingine akijua kabisa mnakutana kimwili, ana malengo tu fulani na wewe.
Oa huyu mzazi mwenzako akupendaye.
Weekend hii na mimi nahamia kwako
Ha ha ha,,wapi huko na lini?
Pole sana,vipi bado unamtegemea kuwa siku moja atakutafuta?yaani alipotea vuup... Huwa najiuliza hadi leo ni nini kilitokea. Afu hatukuwa hata wapenzi labda nimdange, nakumbuka text ya mwisho alinambia anaenda angalia mpira angenitafuta simuni akirudi, dah hakurudi. Nilimpigia simu, text ila waapi. Niliumia sana kumkosa, niliumia yaani vile kuwa na stress. Kibaya sikuwa namjua kivile ndo tulikuwa tunaanza juana. Sijui alikufa mpirani, labda siku moja atanitafuta.
Ohhhh! I never knewOne thing for sure, is that I love you and I'll always do.
Hili ndio kosa ulilofanya just imagine mtu mnalala na kuamka kwa number of years then ghafla anakwambia hana malengo na wewe does it make sense?
mwanamke ambae yuko tayari kuolewa na mwanaume ambaye anaishi na mwanamke mwingine aise naona sio wife material kabisaHuyo mchumba wako yuko desperate sana!