Naishi na njiwa

Naishi na njiwa

Mkuu mimi njiwa nilifuga utotoni kweli wakafika kama 84 wakanishinda kuwajengea mabanda hivyo walizidi kuzaliana sana. Makadirio walifika hadi 140 au zaidi. Nilikuwa siuzi labda kugawa tu.

Basi nikamaliza form 4 nikaenda pwani
Kisarawe Kea miaka2 niliporudi sikukuta njiwa hata1 ila mabanda tu nikashasafisha kwa kuondoa kinesiology na viota vyao kisha nikaendelea na shughuli zangu siku moja walikuja njiwa3
Baada ya siku wakaenda wkarudi na njiwa wengine5 wakafika idadi ya njiwa8 hivyohivyo walizidi kuongezeka hadi idadi ikawa 22 badae wakaanza kuzaliana.

Nikatoka nyumbani tena na kwenda mahali pengine nao hawakubaki.....

Mungu ni mkubwa bana kanijaria nikawa na kwangu kuna siku naamka tu naona njia wawili wapo kwangu nikaingia ndani nikachukua karanga tena zilikuwa kwa ajiri ya lishe ya watoto nikawapa.

Kila siku wakawa wanakuja wanaondoka

Mwisho wakaja kundi kubwa kama njiwa 13 hivi.

Walienda njiwa 5 wa8 wakabaki kwenye penchi za jiko wakalala hapo hadi siku3 ndo nikakumbuka tangu utotoni mimi na njiwa hatuachani.

Nikatengeneza mabanda mimi mwenyeji hadi sasa wapo 20 na usher na wanazaliana kwa speed sana.

Je hapo kuna shida gani kwenye kichwa chagu? Siwali siwauzii wapo tu kwa starehe zao na kuna baadhi ya njiwa wanakuja kushinda kwangu nakuondoka.

Natazamia wafike 200 kabisa. Pia nikiwa Pwani kuna mwarabu alikuwa nao njiwa wazuri kwelikweli makubwa yanavutia.
Hii hata kama Mimi sio mtabiri ila wewe una amani sana moyoni na una upendo wa kweli na njiwa!Mimi niliwaletea madogo hapa home ila wote wamekimbia kucheki Kila siku madogo lazima wapigane!
 
Mkuu mimi sijui mabifu ya kukaa nayo tukizinguana nitatafuta suluhu na amani inakuwepo.

Ila kuhusu njiwa niliwapenda tangu nikiwa la nne nakumbuka nilinunua njiwa wa4 yaani pair 2 wakazaliana na wengine wakuja wenyewe sikuwahi kuuza kabisa hata njiwa mmoja.

Wale njiwa walikuwa wakisikia sauti yangu nikitoka shuleni lazima wanipokee wanatua mbele yangu hadi nafika nyumbani na mbwa hivyohivyo hadi sasa kuna mbwa2 walimfuata dogo(mtoto wangu umri miaka4 ) hadi leo wapo
 
Si una ona!Mimi hapo kwenye bifu sijawahi kua mnyonge yaan hadi tupasuane ukinishinda natafuta plan B!
 
Mkuu mimi njiwa nilifuga utotoni kweli wakafika kama 84 wakanishinda kuwajengea mabanda hivyo walizidi kuzaliana sana. Makadirio walifika hadi 140 au zaidi. Nilikuwa siuzi labda kugawa tu.

Basi nikamaliza form 4 nikaenda pwani
Kisarawe Kwa miaka2 niliporudi sikukuta njiwa hata1 ila mabanda tu nikashasafisha kwa kuondoa kinyesi na viota vyao kisha nikaendelea na shughuli zangu siku moja walikuja njiwa3
Baada ya siku wakaenda wakarudi na njiwa wengine5 wakafika idadi ya njiwa8 hivyohivyo walizidi kuongezeka hadi idadi ikawa 22 badae wakaanza kuzaliana.

Nikatoka nyumbani tena na kwenda mahali pengine nao hawakubaki.....

Mungu ni mkubwa bana kanijaria nikawa na kwangu kuna siku naamka tu naona njia wawili wapo kwangu nikaingia ndani nikachukua karanga tena zilikuwa kwa ajiri ya lishe ya watoto nikawapa.

Kila siku wakawa wanakuja wanaondoka

Mwisho wakaja kundi kubwa kama njiwa 13 hivi.

Walienda njiwa 5 wa8 wakabaki kwenye kenchi za jiko wakalala hapo hadi siku3 ndo nikakumbuka tangu utotoni mimi na njiwa hatuachani.

Nikatengeneza mabanda mimi mwenyewe hadi sasa wapo 20 na usher na wanazaliana kwa speed sana.

Je hapo kuna shida gani kwenye kichwa chagu? Siwali siwauzii wapo tu kwa starehe zao na kuna baadhi ya njiwa wanakuja kushinda kwangu nakuondoka.

Natazamia wafike 200 kabisa. Pia nikiwa Pwani kuna mwarabu alikuwa nao njiwa wazuri kwelikweli makubwa yanavutia.
maelezo yote ya nini
 
Sijaona tatizo kubwa kwako kutoka kwa hao Njiwa,
waache tu waendelee na maisha yao.
ndio wewe ulioiga ID au uliigwa? kuna mwenzako naye yamemtokea yupo yupo analia muhuni kaiga id yake hadi mwandiko ila anaandika mambo yake
 
Hii hata kama Mimi sio mtabiri ila wewe una amani sana moyoni na una upendo wa kweli na njiwa!Mimi niliwaletea madogo hapa home ila wote wamekimbia kucheki Kila siku madogo lazima wapigane!
😁😁😁
Sasa mleta njiwa mwenyewe anajiita Mandingo, njiwa gani atakayevumilia?
 
Nikola Tesla rafiki zake walikuwa ni njiwa, walimpenda kweli kweli.
 
Ni rafiki wazuri ila sisi tunaorudi na mipango ya malipizi kesho kazini walitushinda mapema .
Unawawekea mazingira mazuri ila wanatoroka kumbe mabifu na wafanya usafi kazini washikaji wanaona wanaamua kusepa zao
 
1763683734997.png

1763683824918.png

1763683774558.png

1763683931402.png

1763684034247.png
 
Nilitaka kufuga mbweha kwa ajili ya kusafirisha nje ya nchi kwa vile nilipata soko zuri sana lakini ikashindikana
 
Back
Top Bottom