Basi ushajiweka wewe ni wa wapi. Usirudie tena kuita watu vilaza wakati ni wewe.Kila mamlaka imeanzishwa kwa sheria na mimi naona niishie hapa niendelee na mambo yangu sababu kama hujui serikali sababu zipi zilizofanya ianzishe mamlaka na kazi za mamlaka ni zipi tunabishana nini sasa