Nairob airport

Nairob airport

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
attachment.php



ImageUploadedByJamiiForums1439479474.066333.jpg
 
Watu bana, kasema 'uwanja' sio 'eropleni', sasa nini hakieleweki? Ukweli kuwa JKNIA kiwango chake si kama hicho au nini?
 
Sasa hivi watasema Mileard Ayo sio mtanzania heheheheee

Thread ikikukuta pabaya na umepigika unaweza hata ukashikwa na haja wakati hujala siku 2.

Mie naona mleta mada ameleta hii ili sio tujichukie bali itupe changamoto namna ya kufika hapo jirani zetu walipo na walau tuwe na wivu wa maendeleo sio wivu wa kuwaza kulogana na kuibiana mwishowe tunarudishana nyuma tuu.
Time fact, tuko nyuma ya muda mnooooo.

Jipime kuanzi kesho, ukijikuta hata milo yako unakula nyuma ya muda wa mlo basi ujue na mambo mengi umeachwa nyuma. Utakuta mtu chai anakunywa saa sita sasa lunch................... anyaways maisha ni mipango na kila mtu yuko huru.
 
Ngoja uwanja mpya wa Dar ukamilike.. Na wao watakuwa wanapiga picha kuonyeshana.

"kitu kilichotengenezwa na binadamu kinaweza kuvunjwa na kutengenezwa tena"
 
one thing of DAR airport you can't lost when u arrive....but Nairobi u can

Dar pale vigeti (boarding) vyote viko sehemu moja, una-manage bila screens wala kuuliza popote. Hiyo Nairobi ni kitu kingine, nilipita kipindi imeungua so baadhi ya sehemu zilikuwa zimefungwa, ila dah!. Huwa roho inaniuma sana jamaa wanavyotuacha mbali.
 
Hiyo ndiyo terminal mpya iliyojengwa na wachina. Wamejitahidi lakini kosa moja ni kwamba wametumia tiles za low quality. Hizo tiles zimepunguza kwa kiwango kikubwa ubora wa terminal yenyewe.

Tiba
 
Hiyo ndiyo terminal mpya iliyojengwa na wachina. Wamejitahidi lakini kosa moja ni kwamba wametumia tyres za low quality. Hizo tyres zimepunguza kwa kiwango kikubwa ubora wa terminal yenyewe.

Tiba
Hizo bold.... wametumia matairi kwenye nini???:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Watu bana, kasema 'uwanja' sio 'eropleni', sasa nini hakieleweki? Ukweli kuwa JKNIA kiwango chake si kama hicho au nini?
Mamushka.... kwanza mi Pako ako miss sana wewe...

Pili.... wenyewe hawaitaki hiyo blue kwenye hiyo red.

Baada ya kusema hayo, nakusalimu mama yangu.
 
Back
Top Bottom