Naipongeza Intelijensia ya RPC - Msangi si ile ya wapiga Kelele

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Jeshi Polisi Mwanza lilipata taarifa ya muuzaji wa spea za Magari kuwa anajihusisha na biashara ya Madawa ya Kulevya mkoani Humo.

Inaendelea mara baada ya kupata taarifa......walienda kwenye vyombo vya HABARI.

Inasomeka hivi mara baada ya kupata taarifa polisi walifika nyumbani kwa mtuhumiwa na kuzingira nyumba yake ambapo walimuona mmtuhumiwa akiwa anafunga mzigo wa madawa kwenye kete ndogo ndogo.

Inadaiwa kuwa mtuhumiwa alishituka hivyo kukimbilia chooni ili afiche ushahidi ambapo Jeshi la polisi lilivunja bomba la choo na kukuta pinchi 240 ambapo hazikutumbukia chooni.

Kassim anakuwa mtu wa kwanza kukamatwa akiwa na kidhibiti tangu sakata la madawa ya kulevya liibuliwe na Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dasr.

Hapa naona TAALUMA na WELEDI wa Hali ya Juu. Hongera RPC Msangi.

IMG_1486834342.088992.jpg
 
Nenda kwenye Youtube andika Akasha. Utaona jinsi hawa vijana ndugu ambao walikuwa wauzaji madawa maarufu Kenya wakifanya biashara na jasusi kutoka Marekani ambaye alikuwa na kamera ya siri akirekodi.
Hawa jamaa walifikishwa mahakamani huko Newyork Marekani na ushahidi tosha.
 
Kamishna Sirro ameshiriki kuharibu ushahidi na kuwaepusha na kuwatorosha wauza unga dhidi ya mkono wa dola.
1183d0fff5c74eb20d2a6e70fe57e942.jpg
 
Back
Top Bottom