Inaonekana watu wana chakula kingi likini ni maskini na hawana raha.
Tatizo la nchi yetu ni kwamba kilimo sio biashara ndio maana siku zote wakulima wetu ni maskini na watabaki hivyo mpaka mkombozi apatikane
Ulichukua za nn?sokon huwa unachukua hizo bidhaa afu unarudisha? Hiyo akili au matope?Sasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?
Ndio umemaliza kufikirisha Akili yako?Sasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?
Ununuzi wa mzigo mkubwa una utaratibu tofauti, serikali tokea mwanzo ilisema haitanunua korosho za msimu uliopita na korosho mbovu kwa hiyo wakulima walishapewa tahathari mapema, serikali inachukua mzigo kisha inaukagua kabla ya kufanya malipo sababu wakulima wengine waliziweka korosho mbovu pamoja na korosho safi kinyemela,Ulichukua za nn?sokon huwa unachukua hizo bidhaa afu unarudisha? Hiyo akili au matope?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakugharimu kiasi gani kuvitaja?Ndio umemaliza kufikirisha Akili yako?
Uwazavyo wewe korosho zimeanza kulimwa na kuuzwa mwaka jana tu?
Mwenyekiti aliposema korosho yetu yote ni super yani Daraja la kwanza wafanyabiashara ndio wanatuibiaga kwa kuweka madaraja ulibisha?
Mbona munapenda watu wavitaje sehemu ya viungo vyenu na wazazi wenu......
Serious? Nipo Kijiji cha Katama hapa Tandahimba. Sijalipwa korosho yangu tani kadhaa kisaa naambiwa kangomba. Shamba wamekuja kukagua then wanakataa aliwezi kutoa korosho nyingi kama zangu. Dhuluma tu. Kama haujui tulivyoumizwa bora unyamaze. Natamani hata mm wanirudishie korosho yangu. Nitakaanga niuze kwa kuchuuza japo nako kuna hatari ya kutakiwa kuwa na kitambulisho. Shida juu ya shidaSasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?
Jibu maswali kwani hilo halikuwa swali......Inakugharimu kiasi gani kuvitaja?
Au unaona ni jambo jipya sana Ulimwengu?
Ikulu inapaswa kuacha kufanya biashara. Kazi yao ni kuweka mazingira mazuri ya biashara.Ununuzi wa mzigo mkubwa una utaratibu tofauti, serikali tokea mwanzo ilisema haitanunua korosho za msimu uliopita na korosho mbovu kwa hiyo wakulima walishapewa tahathari mapema, serikali inachukua mzigo kisha inaukagua kabla ya kufanya malipo sababu wakulima wengine waliziweka korosho mbovu pamoja na korosho safi kinyemela,
Hilo ni jambo la kawaida hata kipindi kile wanunuzi wa nje wananunua, wakikuta korosho mbovu lazima zirudishwe kwenye vyama vya ushirika kabla ya malipo kufanyika
Sasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?
Ununuzi wa mzigo mkubwa una utaratibu tofauti, serikali tokea mwanzo ilisema haitanunua korosho za msimu uliopita na korosho mbovu kwa hiyo wakulima walishapewa tahathari mapema, serikali inachukua mzigo kisha inaukagua kabla ya kufanya malipo sababu wakulima wengine waliziweka korosho mbovu pamoja na korosho safi kinyemela,
Hilo ni jambo la kawaida hata kipindi kile wanunuzi wa nje wananunua, wakikuta korosho mbovu lazima zirudishwe kwenye vyama vya ushirika kabla ya malipo kufanyika
Porojo baada ya kushindwa kuwalipa, ehee endeleaSasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?