Acha undez jina la bland limebdrika siyo device ilikua n sony ericson now n Sony mobile cooperation
Then usikalili eti kinachofnya mob phn ku function kaz ya pc ni processor hv unajua kaz ya processor!? Pc ina mult fnctn nying ni kwasabu ya mambo meng amabyo simu haiwez
Intel siyo wazarshaji pekee wa processor hapa dunia kampuni zipo nying tu bob swala la Microsoft na kampun nyingne kutoa simu unazowaza wewe zifanye kazi ya pc ni ndoto pc inauwezo wa kufnya kaz nying kuliko unavyoichulia wewe poa poa kijana
Nikimaanisha kwenye specs. Ina quality ya kuitwa flagship. Ila hizi nyingine they're too average
Lumia 930 sio average, labda battery life tu, ambayo hata hivyo ni kama iPhone 6 au 5s labda, ambazo watu hawaziiti average. Camera ni 20MP,pureview na zeiss lens with optical image stabilization (lg g3 haina OIS). memory ni 32gb, processor ni snapdragon 800, sio the best ila si average, pixel count ni 441ppi.
http://m.gsmarena.com/nokia_lumia_930-6227.php
Kwanin walishindwa kutengeneza simu yenye specs zaid ya 1520?

kwani flagship ya mwisho ya nokia lumia ni ipi?
Kwanin walishindwa kutengeneza simu yenye specs zaid ya 1520?
true flagship ni lumia 920. baada ya hapo wametoa niche flagship tu
Sikubaliani na wewe mzee 920 imeizidi nini 930? Au 1520?
lumia 920 ndio ilikuwa flagship ya 2012/2013 baada ya hapo zikatoka lumia 1020 na 1520 ambazo nazo ni flagship sema ni niche.
lumia 1520 ni flagship ya phablet, na 1020 ni flagship ya camera phone.
lumia 930 yenyewe ni mini version ya 1520 ambayo inalack hata hivyo vitu vya 1520.
flagship ya 2013/2014 ilitakiwa iwe mclaren simu ambayo imekaa lab za nokia kwa muda mrefu ikiwa na latest technology kama solar charging na 3d view.
nikisema lumia 920 ndio flagship ya nokia simaanishi kuwa ndio ina latest specs namaanisha ndio flagship ya mwisho kutoka ambayo sio niche. imetengenezwa kwa kila mtu na sio kwa wapenda camera tu ambao wapenda masimu makubwa
Hawajashindwa, wanasubiri software ya windows 10 ikamilike. After all 1520 haiizidi lumia 930 vitu vingi sana, ni sd card tu na battery, na offcourse 1520 ni pjablet
kwani flagship ya mwisho ya nokia lumia ni ipi?
930 sio mini version ya 1520, ni muendelezo wa 9xx series. So baada ya 920 ni 925, then 930. 1520 ni maudhui tofauti kwa wale wapenda phablets. Kwa lugha nyingine ni kuwa 930 ndiyo latest version ya 925 na 920, na sioni kitu gani kinaifanya 930 isiwe nzuri kuliko 920, hivyo sielewi kwa nini isiwe ndo flagship baada ya 920
Mkuu me nina lumia 1020 sioni app ya jamii forums, Hii naipata wapi?
Tetesi za simu ya mwaka huu itakuwa ina specs gan?
1520 is far better than 930.