Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,323
Ahaa . Embu nijaribu kuanza hiyo pay pal. Ingawa kuna kipindi nilienda crdb bank wakasema hawajui jinsi ya kuniunganisha na pay pal
ok..umenipa darasa hapo.
ila kwa games lol..... wapo juu sana
[h=3]ASPHALT 8: AIRBORNE[/h][h=3]BLITZ BRIGADE[/h][h=3]DUNGEON HUNTER 4[/h]
hizo ndo my favorites graphic za kufa mtu full vibrations nice sound.... haipo nyuma mkuu
battery natumia siku tatu mkuu full game ku browse ndo sanaaa
Mkuu nisaidie, natumia Lumia 820 nikifungua cortona inasema sorry I'm speak your language yet, natumia window vision 8.1...yenye preview for developer.
Ingawa mimi si hao uliouliza ila kwa sasa huwezi kuipata dubai hizo simu, hazijafika huko. Ila 640XL ni kubwa 5.7'' na 640 ni 5''. XL ina camera nzuri zaidi, carl zeiss lens, 13MP,....
zote zinafana sana kasoro screen zao baterry na camera.
lumia 640 ina 5 inch na lumia 640 xl ina 5.7
lumia 640 ina 8MP mbele 1MP na lumia 640 xl ina 13mp mbele 5MP
BATERRY
2500MAH KWA 3000MAH
source: Microsoft Lumia 640 and Lumia 640 XL First Impressions | NDTV Gadgets

SHAROBALO na Sir_Mimi aisee hii kitu nilitegemea Chief-Mkwawa ataleta reviews zake hapa ila nimegundua tokea Nokia apotee na Lumia kuitwa Microsoft jamaa no more diehard fan wa Lumia.
Lumia 640 na bro wake 640XL will sell like hotcakes trust me. Record ya Lumia 520 possibly ikavunjwa. Tena na hii Windows 10 mbona iDroids watalala nje!
640 XL bei yake iko juu compare na 640 so the later will be perfect choice.