Bryan09
Senior Member
- Dec 11, 2013
- 162
- 32
Check with me #0764-369097Tuongee biashara mkuu
Sent from mTalk
Check with me #0764-369097Tuongee biashara mkuu
Sent from mTalk
kama alivyokuambia mdau hapo juu alternative ya tapatalk ni mtalkJamani kwa mwenye kujua natafuta namna ya kuweka tapatalk mwenye Nokia lumia 1320...kila ninapoweka inaniambia hiyo app haiko compatible n.a. nchi yangu....msaada tafadhali@chief mkwawa
Jamani nimejaribu nimeshindwa....kuitafuta hiyo mtalk imeshindika labda mniambie niset region wapi ili nipate hiyo mtalk....yaani nashindwa kuingia jamii forum kwa hii simu. ..kama kuna mtu anajua setting nzuri za enternet kwa lumia 1320 naomba plz@cheaf mkwawakama alivyokuambia mdau hapo juu alternative ya tapatalk ni mtalk
kuinstall app ambazo haziruhusiwi eneo lako badili region, nenda setting tafuta eneo la region na language eka iwe united state
Mtalk hadi uwe na windows 10, kama una 8 ni tapatalk tu, haingii internet hio simu?Jamani nimejaribu nimeshindwa....kuitafuta hiyo mtalk imeshindika labda mniambie niset region wapi ili nipate hiyo mtalk....yaani nashindwa kuingia jamii forum kwa hii simu. ..kama kuna mtu anajua setting nzuri za enternet kwa lumia 1320 naomba plz@cheaf mkwawa
Internet ipo ila inasoma E full time nikajua labda nitakuwa nimekosea settingMtalk hadi uwe na windows 10, kama una 8 ni tapatalk tu, haingii internet hio simu?
nenda setting halafu mobile+sim halafu sim setting utaona sehemu ya kuswitch 3g na 2gInternet ipo ila inasoma E full time nikajua labda nitakuwa nimekosea setting
Mkuu chief Mkwawa vipi microsoft lumia 540?nenda setting halafu mobile+sim halafu sim setting utaona sehemu ya kuswitch 3g na 2g
yap windows ni nyepesi kuliko android ila huo wepesi inategemea na task unayofanya. mfano unarun game kubwa kama vile asphalt 8, simu ya 512mb ram hata itoke os gani itakuwa slow, games zote kubwa zinapenda ram kubwa na gpu nzuri. ila unapofanya mambo madogo madogo kama vile kwenda settings, kurun apps ndogo ndogo nk simu ya windows ya 512mb ram itakuwa nzuri.Mkuu chief Mkwawa vipi microsoft lumia 540?
Halafu kuna mtu flan USA nimemuuliza kwanini windows phones (microsoft) specs zao zinapungua kuliko kuongezeka kama wengine hususan 1 GB ram akaniambia the way windows ilivyotengenezwa wamegundua bado ni nyepesi sana kuliko android so Android ya 3GB ram inaweza ikawa outsmarted na Lumia 620 ya 512 Ram ktk activeness eti hii ni kweli?
Nzuri au si nzuri?yap windows ni nyepesi kuliko android ila huo wepesi inategemea na task unayofanya. mfano unarun game kubwa kama vile asphalt 8, simu ya 512mb ram hata itoke os gani itakuwa slow, games zote kubwa zinapenda ram kubwa na gpu nzuri. ila unapofanya mambo madogo madogo kama vile kwenda settings, kurun apps ndogo ndogo nk simu ya windows ya 512mb ram itakuwa nzuri.
ila sababu windows ni nyepesi hii sio sababu kwa microsoft kuuza simu bei ghali, unapoeka specification ndogo kwenye simu ina maana component za ndani umenunua bei rahisi hivyo simu pia ulitakiwa uuze bei rahisi. unapoeka snapdragon 210 kwenye lumia 640 na 540 na kuziuza laki 5 sijui unategemea nini wakati competition wanaeka processor zenye nguvu hadi mara 3 kwa bei isiozidi laki 3.
unataka kufahamu nini kuhusu lumia 540?
kwa chini ya laki 3 sio mbaya ila ikizidi hapo ni bora tu utafute flagship ya zamani yenye windows 10 kama lumia 830, 930, 1520 etcNzuri au si nzuri?
Nimejaribu kuset region nimeweka USA lakini wapi nimeshindwa kabisa kupata tapatalk app yoyote inayofanana n.a. hiyo....msaada bado unahitajika....kama alivyokuambia mdau hapo juu alternative ya tapatalk ni mtalk
kuinstall app ambazo haziruhusiwi eneo lako badili region, nenda setting tafuta eneo la region na language eka iwe united state
download tvizzle au vlc zote zina option ya kueka url ila tvizzle ni nzur zaid sababu unaweza kusave,hv jaman sisi tunao tumia window phone je kuna aliyewahi kuangalia tv kupia cm yake kama hawa wa adroid je nifanyaje ili niweze kuangalia tv kwa hii lumia yangu 525.?
watakuwa wameitoa wenyewe, subiria hadi irudi (kama itarudi) sababu sasa hivi support ya windows phone 8.1 ni ndogo sana mpaka uwe na windows 10. nikiicheki kwa pc windows 10 naiona hapaNimejaribu kuset region nimeweka USA lakini wapi nimeshindwa kabisa kupata tapatalk app yoyote inayofanana n.a. hiyo....msaada bado unahitajika....
hio ni update ya mwisho kabla ya windows 10. inaongeza mambo kadhaa kwenye simu kama foldersLeo nimeletewa update kitu kinaiwa denim...mnaoelewa hii ni nini na kazi yake nini@Chief-Mkwawa