Naipenda simu yangu ya windows

Application ya snap chat ntaipata wapi kwa ajil y Lumia yangu sbb kwenye store haipo
 
Ndugu @Chief_Mkwawa Lumia 930 naweza ipata kwa kiasi gani hapa Dsm?
 


Muombe penzi basi huyo bibie Windows mtoto wa Sheikh Denim.
 
jaman mi nimgeni kidogo na window phone, nataka update lumia 610 msaada huku
 
Masada wakuu tangu nimeingia windows 10 hii Microsoft Lumia 535 haikai na charge wakuu anaeweza nisaidia plz
 
Jamani natafuta season ya power episode kuanzia 10 [emoji647] naomba please
 
Masada wakuu tangu nimeingia windows 10 hii Microsoft Lumia 535 haikai na charge wakuu anaeweza nisaidia plz


Upo W10M version gani.? Umehakikisha una recent update ya windows 10 mobile.?
 



Sent from mTalk

Hiyo OS build ina bugs za kutosha. Hiyo bado ilikuwa katika preview. Baada ya hapo kuna release nyingi zimefuata na sasa release iliyopo ni redstone kama inavyoonekana hapa chini. So hapo endelea kuupdate hujamaliza kuupdate. Ukimaliza simu itakuwa stable.

 
Poa asante mkuu

Sent from mTalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…