950 ni bug ya win 10. umei update hadi last version?
Wale walioupdate winsows 10 mfall back to windows 8, windows 10 bado ina bugs za kutosha.
update simu hadi latest version uangalie itakuajeAisee chief-Mkwawa, Mimi pia nina Lumia 950, jamani betri haikai zaidi ya masaa matatu ingawa ina fast charging, hili swala la kutokaaa na charge na kupata joto limeniboa sana na hii simu. naomba msaada wa kiufundi tafadhali
toa darasa Chief tafadhaliupdate simu hadi latest version uangalie itakuaje
darasa la vipi? sababu ku update simu ni jambo rahisi tutoa darasa Chief tafadhali
ok Mkuu nafanya hivyo sasadarasa la vipi? sababu ku update simu ni jambo rahisi tu
kuna nokia lumia 822 verzon inapga hadi 4G nicheki pmMi nahitaaji Lumia 830 mwenye kujua naweza ipata wapi Na bei zake zikoje aniambie
app za play aka za michezo kama games windows phone ipo nyuma ila app za work na productivity wp ipo mbele sana. hili linajulikana sana tu.
kuhusu panya road mbona zipo nyingi tu wp ukiwa na developer account unaweza kucheza na system files, kuchakachua apps same as android.
Microsoft 535 Dar inauzwa bei gan?
Aisee chief-Mkwawa, Mimi pia nina Lumia 950, jamani betri haikai zaidi ya masaa matatu ingawa ina fast charging, hili swala la kutokaaa na charge na kupata joto limeniboa sana na hii simu. naomba msaada wa kiufundi tafadhali
ingia store ya window download app. ya upgrade Advisor itakusaidia kufanya update lakini hakikisha window unayotumia sasa hivi iko updated ukikwama rejea tena kwa msaadaWakuu nlikua nataka kujua jinsi ya ku update window phone lumia 530 kwenda kwenye wind 10
Hivi kuna WINDOW PHONE dual sim card???
zipo nyingi zakutosha. tena nyingi za LUMIA slot zote mbili za line zinasapoti 3G.Hivi kuna WINDOW PHONE dual sim card???
300,000/- hadi 320,000/- ila hii simu inazingua sana kwenye touch.