Naipenda simu yangu ya windows

Habar wana jamvii nnawezaje kuingiza jamii forum kwenye wp yang version yake ni 8.1
 
hizo lumia zinasimamiwa na midcom hapa Tz wapo mikocheni

Magore Street,
P.O. Box 76764, Dar Es Salaam
2122035
+255 (22) 2122048
Mkuu Chief-Mkwawa kama wanazo microsoft lumia 950 na bei yake hapo
 
Wakuu nlikua nataka kujua jinsi ya ku update window phone lumia 530 kwenda kwenye wind 10
 
Gafla simu yangu nokia lumia 630 Ina charge slow na kumaliza charger haraka, naweza charge masaa hata 8 nikakuta 20% tuu ndo imeingia nifanyaje?
 
Jaribu kubadil charge tafuta charge ilio original na ujaribu ikirudia tena nahis litakua tatizo la kiufund
 
Nauliza wakuu, kuna yoyote mwenye windows phone version 7.8 na whatsapp yake inafanaya kazi? Ya kwangu imegoma baada ya kuiapdate, mpaka leo haijakubali, nahitaji msaada
 
Mh...version 7 sidhani kama wananaendelea kussuport hio jamaa wa watsap. jiongeze kidogo mkuu ununue version hata 8 kwan unakosa mambo mengi. badili simu mkuu kama imegoma ku update kufikia version 8 basi badili tu
 
Microsoft 535 Dar inauzwa bei gan?

Nina lumia 640, Brand new.
4G,
Single line,
Magnetometer sensor ( direction compass ),
GPS (Built in GPS hardware),
Lumia Denim OS,
Inakuja na accessories zake zote .
Bei nauza 320,000/=.
 
Mi nahitaaji Lumia 830 mwenye kujua naweza ipata wapi Na bei zake zikoje aniambie
 
Gafla simu yangu nokia lumia 630 Ina charge slow na kumaliza charger haraka, naweza charge masaa hata 8 nikakuta 20% tuu ndo imeingia nifanyaje?
nina tatizo sawa na lako..nilihangaika hapa kutafuta microsoft lumia 950 lakini nilichokutana nacho siamini..yaani simu inaisha chaji ndani ya saa moja hata kama ilijaa..yaani inapata moto kama pasi.
 
950 ni bug ya win 10. umei update hadi last version?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…