Naipenda simu yangu ya windows

WanaeeleZea kila siku mambo ya Technology zinazotokea apa Tanzania na dunia nzima kwa ujumla
 

tumia streamtube ni youtube live inaonesha mpira sema link zinakuwa nyingi na nyengine ni scam so itabidi ufungue link kadhaa kabla ya kupata ya ukweli.

ukisha idownload subiria wakati wa mechi halafu search timu moja inayocheza mfano chelsea, utaona zinakuja link kibao za hio mechi.

pia unaweza add manual link ukaangalia mpira.

movie zipo njia nyingi sana
1. torrent
2. direct link kama nilizotoa
3. youtube
4. website mbalimbali kama 300mbfilms.co
 
Wakuu naomba msaada wenu,simu yangu Nokia Lumia625 inanipasua kichwa,niliifanyia reset baada ya kuwaka screen/touch haifanyi kazi sawasawa,mf:nikifungua file la message inafungua kitu kingine,sometimes inajiwasha yenyewe nakufungua mafile na ku-accept vitu ambavyo sivitaki,kuna jamaa alinishauri niipeleke kwa fundi ila mafundi wengi wanakimbilia kuifungua ila me naamini ni masuala ya programming coz simu sikuwahi kuidondosha labda iwe kuigandamiza mfukoni,naomba nielekezwe chakufanya au zilipo office za Nokia kwa Dar nikawaone wataalamu wao.
 
hujaeka protector? ikifanya hayo mambo simu inakuwa kwenye chaji?
 
Hapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizo.
 
hujaeka protector? ikifanya hayo mambo simu inakuwa kwenye chaji?
ber: 274275"]Hapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizo
 
Hapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizo
 
Hapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizo.
hizo lumia zinasimamiwa na midcom hapa Tz wapo mikocheni

Magore Street,
P.O. Box 76764, Dar Es Salaam
2122035
+255 (22) 2122048
 
Shukrani mkuu.
ber: 274275"]Hapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizo
Mkuu nina window phone ambae ni micrsoft 435 tatzo langu kwny store yake cpat blog za bongo nisaidie kuptia ismailifaraj5@gmail.com
 
Nina simu yang window phon 435 microsoft shida yang ni app nying za bongo hazpo kwny store yao kam blog naomba msaada kupitia email yang ismailmafaraj5@gmail.com /whatsap 0656694015
 
Chief mkwawa, Lumia yangu 820 nili restart ilivowaka haisomi quite hours. Inanipa niweke Cortana on lkn Cortana IPO on ILA bado haikubal
 
Hiv ndivyo imavosema,
 

Attachments

  • wp_ss_20160518_0002.png
    15.2 KB · Views: 61
Haya ndio maneno inaniandikia
 

Attachments

  • wp_ss_20160518_0003.png
    13.1 KB · Views: 51
Nimepaona kumbe Ni hapa
 

Attachments

  • wp_ss_20160518_0005.png
    7.3 KB · Views: 58
Nilipoweka on ndo ikaanza kufanya kaz
 

Attachments

  • wp_ss_20160518_0006.png
    10.3 KB · Views: 57
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…