pole mkuu!!! sijawahi kutana na case kama yako... upo dar au mkoa hio hadi iflashiwe na latest frimware... sababu hio os iliyomo iko binded na huyo operator waliye mlokia.Kwa mara ya pili naomben msaada au ushaur wana jamvii nna wind phon lumia 620 iko locked katka networ.. ya tanzania nkiweka lain mtandao ausomi inaomba code msaada wenu wana jamvi imei yake ni 356347058287041
Kwa wale wataalam wa wind kama chief mkwawa and sharobalo please msaada wenu na wote wana jamvi
oops!! ikishasema hivyo ndio basi tena haiwezi kuwa updated to window 10. ila usikate tamaa simu yako ni nzuri na unaweza endelea tumia window 8.1 ni nzuri pia...enjoy itNimedownload hiyo update advisor,imenijibu phone is not supported for update window 10
So it means sio lumia zote zina support window 10 ama wamenza na simu chache kwanza?oops!! ikishasema hivyo ndio basi tena haiwezi kuwa updated to window 10. ila usikate tamaa simu yako ni nzuri na unaweza endelea tumia window 8.1 ni nzuri pia...enjoy it
lumia zote zenye snapdragon s4 hazijapata updateSo it means sio lumia zote zina support window 10 ama wamenza na simu chache kwanza?
jaribu link inayofanya kaziChief nimepaste hiyo link but ina respond the link you have entered is wrong or unsupported.. Plse help
Mimi nina 820 na natumia windows ten baada ya kudownload windows insiderlumia zote zenye snapdragon s4 hazijapata update
-820, 920, 720, 620, 520, 1020 etc
Nimepaste link uliyoiweka,inayofanya kazi naipata wapi ama sijaelewa.jaribu link inayofanya kazi
Ooh..so inawezekana download by window insider,naomba nielekeze steps.Mimi nina 820 na natumia windows ten baada ya kudownload windows insider
N
Nimepaste link uliyoiweka,inayofanya kazi naipata wapi ama sijaelewa.
Shukrani sana Chief,I will appreciate ukiniwekea link mpya.hizo link za zamani zilikufa kwa watu wote hazichezi itabidi upate link mpya zinazofanya kazi za star tv na azam tv. nitakuekea baadae au kama mtu anazo hapa atakuekea
Npo kigoma.... yan iko iv nliipeleka kwa fund tukabadil ile socket ya katkat au (utumbo wa sm) baada ya apo nkaweka lain ikasoma ikaonesha imesoma lakin mtandao ndo anaomba acces ya nchi nliopopole mkuu!!! sijawahi kutana na case kama yako... upo dar au mkoa hio hadi iflashiwe na latest frimware... sababu hio os iliyomo iko binded na huyo operator waliye mlokia.
unaweza kui access ikiwa offline yaani iwe kwenye airplanemode halafu ukakonect wifi na kujaribu kuiupdate?! au huwezi kui access kabisa!!
Unatumia simu gani?Msaada naomba site itakoyoniwesha kudownload window 10 bila shida.
nimeupdate tena.... kama unawindows 10 tayari kuna build mpya imetoka build .164
uki update window 10 unapata build .122 baada ya hapo checki for updates upate hio build .164 ni stable na imerekebisha bugs nyingi... imepiga polish safiii sana hebu chekin for update