Naipenda simu yangu ya windows

nimefanikiwa wakuu ila window 8.1 denim kuna vitu wamebania mfano audio recorder hamna mpaka ni download sijui kwa nini wamefanya hivi.
 
nimefanikiwa wakuu ila window 8.1 denim kuna vitu wamebania mfano audio recorder hamna mpaka ni download sijui kwa nini wamefanya hivi.
pengine sababu ya security, na recorder ya kudownload ni tofauti na inayokuja na simu/kuwekwa na oem
 
inayokuja na simu ina affect security kivip mkuu naomba unieleweshe.
zote zina affect security kwenye enterprises, siri za ofisini zinaweza rekodiwa, simu za mabosi kwenda department mbalimbali nk.

recorder inayokuja na simu inakuwa na permission nyingi na hufanya kazi vizuri (mara nyingi) tofauti na zile unazodownload
 
nimekupata mkuu ila sion kama ni ishu sana maana mtu utaweza hata kuchukua video kabisa na picha ndo tuseme hivo navo wangevitoa?
 
WAKUU habari zenu..naomba kujua je kuna app yoyote iliyopo kwa ajili ya kuuza simu tofauti ama hata blog.
 
Nataka kununua Nokia Lumia 930 , ushauri wenu watumiaji Wa Windows, na vipi inaweza kupata update ya Windows 10
 
Nmenunua nokia lumia 620 lakn iko locked kwenye mtandao nkiweka lain inaomba pin code naomben msaada wenu wana jamvii
 
Update mpya ya whatsapp imetoka yenye document sender option mimi nimeupdate asubuhi hii
 
Sasa window phone 10 inaweza play GIF files.. it was imposible in 8.1... so gud aisee
 
Kwa mara ya pili naomben msaada au ushaur wana jamvii nna wind phon lumia 620 iko locked katka networ.. ya tanzania nkiweka lain mtandao ausomi inaomba code msaada wenu wana jamvi imei yake ni 356347058287041
Kwa wale wataalam wa wind kama chief mkwawa and sharobalo please msaada wenu na wote wana jamvi
 
Chief nimepaste hiyo link but ina respond the link you have entered is wrong or unsupported.. Plse help
 
Chief Mkwawa natumia lumia 920 mbona sijapata notification ya update window 10?

Huwezi pata notification sababu bado haija achiwa kwenye region yetu huku africa... ingia store download window 10 update advisor halafu fatisha maelekezo
 
Huwezi pata notification sababu bado haija achiwa kwenye region yetu huku africa... ingia store download window 10 update advisor halafu fatisha maelekezo
Thanks,but mbona kuna mdau hapo amesema amepata notification official? Itaachiliwa Africa lini?
 
Huwezi pata notification sababu bado haija achiwa kwenye region yetu huku africa... ingia store download window 10 update advisor halafu fatisha maelekezo
Nimedownload hiyo update advisor,imenijibu phone is not supported for update window 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…