Tuwekeeni apps mbali mbali Ili tuweze kuinjoy nasisi ambao hatujui chochote apps mbali mbali kwa matumizi mbali mbali pia
youtube-metrotube, tubecast, mytube
instagram-6tag
utilities- #1toolkit
twitter- metweet, peregrin
image editing- aviary
video editing- movie maker, movie creator, video moment etc
video player- cc player
file manager -files
ebook reader- bookvise
pdf reader- foxit pdf
social network- badoo, eskimi, 6tin, promegle etc
sports- 1st4fan wana app za timu nyingi, sports
pia ni muhimu kujua live tiles na namna ya kuzitumia kwenye home screen app kama hizo za michezo ukieka kwenye homescreen live tile itaonyesha data muhimu kama mechi inayokuja ni ipi, labda timu imefungwa mara ngapi imeshinda mara ngapi nk hivyo baadhi ya vitu utaona hata kama hujafungua app
pia unatakiwa ujue feature ya kupin vitu kwenye start screen. mfano mke wako unaweza pin whatsapp yake kwenye homescreen ikawa all time unaona profile pic yake na ukitaka kumtext unaclick ile profile unapelekwa moja kwa moja kwenye chat yake. unaweza pin vitu kama website, shortcut za kufika sehemu fulani ya apps nk.
pia kuna peoples hub unaweza add acount za twitter, fb nk ukaona vichwa cya habari vya notification zako bila kufungua app husika.
kuna kids corner au guest mode, hii utaweza kuset apps mtu asiekua wewe aone apps chache nyengine asione. mfano unaweza msetia mwanao akishika simu aone games tu asione msg wala video wala whatsapp.