Kwanza uwe unatumia Lumia device recovery tool, hiyo itainstall original os ya simu yako. Inadetect os ya kudownload automatically.Hiyo niliifanya nilidownload hiyo insider nikajisajili ikanipa update nikasita kudownload nika uninstall window insider sasa update ikabak pale pale ,siko niko kwenye wifi ikaupdate kumaliza ikazima na kuinstall update ikawa haimalizi kuinstall ikawa inaishia kwenye logo tu,ikabidi nikawekewe windows software upya sasa naogopa kujaribu tena,niliyowekewa ni ya voda net ilikua slow akashindwa download firm ware yake akaniekea ya vodacom aliokua nayo hapa simu ikiwaka inaanza kwanza na logo ya voda inanikera balaaa,nitaibadilisha tu
Download tena hiyo application ya windows insider kutoka store.Nitajaribu tena kuweka windows ten ila tatizo nilifuta application ya windows insider au simu sio compatible,!?natumia lumia 820
developer wanaruhusiwa kutest apps zao kwenye simu zao ambazo zinatokea kwenye computer. hivyo unaweza ukaunlock simu kama developer na kuruhusiwa kusideload apps 2 hadi 10 kutegemea na aina ya developer.
sema ni step ndefu kidogo kufanya hivyo.
nenda storage sense itakuonesha allocation ya vitu vyako vyote vya phone memoryChief nimeweka kwenye lumia 820 data zote kama picturea videos ziende kwenye memory card na kila ninachodownload ajabu phone storage inajaa tu na nikicheka kwenye application ya file hakuna kilichohifadhiwa kwenye phone storage,nafanyaje kupunguza mkuu.?
Ahsante sana chief ,nimekuta ni whatsapp ndio inazaidi ya mb 500 ,ahsante Saaana Mwenyezi akubarikinenda storage sense itakuonesha allocation ya vitu vyako vyote vya phone memory
Kaka nilisubiri siku nzima kaka ,acha nijaribu tena kakaKwanza uwe unatumia Lumia device recovery tool, hiyo itainstall original os ya simu yako. Inadetect os ya kudownload automatically.
Lakini nikuulize kuwa unaposema haimalizi kuinstall update ya windows 10 kwa mara ya kwanza ulisubiri muda gani? Kwa sababu huwa inachukua muda mrefu karibia saa nzima kuinstall mara ya kwanza, inataka subira. Nahisi pengine hukuisubiri vya kutosha. Ulisubiri muda gani?
Vipi simu inatakiwa iwe na free space kiasi gani maana yangu ina free kama 1.4gb onlyDownload tena hiyo application ya windows insider kutoka store.
I am not sure ila Kuwa safe At least iwe na 1gb free space (phone memory) kwa sababu zile update huwa zinafika hadi 700MB mara nyingine. Unaweza kujaribu tena, hizi build zimeimprove sanaVipi simu inatakiwa iwe na free space kiasi gani maana yangu ina free kama 1.4gb only
mkuu habari.nenda storage sense itakuonesha allocation ya vitu vyako vyote vya phone memory
nenda storage sense itakuonesha allocation ya vitu vyako vyote vya phone memory
umejaribu kudownload app nyengine ya camera tofauti na hio? cheki app nyengine storemkuu habari.
kuna simu hapa nimechemka aise baada ya ku apdate kwenda window demin. ika kumbwa na tatizo camera inagoma kuwaka . simu ni nokia lumia 620
msaada mkuu shida itakuwa ni nini?
nimesha jaribu mkuu Whenever I try to open Iumejaribu kudownload app nyengine ya camera tofauti na hio? cheki app nyengine store
vizuri kusikia umefanikiwa. I hope uko na latest build 10586.63. Sasa nenda store ucheki application updates. ukiwa store click ile hamburger menu juu kushoto, then downloads and updates, halafu juu kulia 'check for updates'..Now with windows 10 on lumia 820 looks nice
jaribu kuipeleka 10 au subiria kidogo hadi official update ikitoka uone kama itafix. isipofix pengine inaweza kuwa hardware problemnimesha jaribu mkuu Whenever I try to open I
just get a black screen (sometimes it says
loading…), and then it pops back to the
previous screen.
Umefikaje window 10 mkuu mbona mimi hata denim inagoma kwenda?Now with windows 10 on lumia 820 looks nice