Naipenda Sana Ijumaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naipenda Sana Ijumaa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vivian, Sep 14, 2012.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Akina mamiito na Dadiito.

  Nashindwa hata kupanga ratiba as am so ecited jamani. hebu nisaidieni.

  kwa kuanzia natoka job saa saba.


  Mwenye atakayenipa ratiba nzuri nitampa siri yangu.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Jumatatu ni bora zaidi kuliko Ijumaa bila hela mfukoni
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh, me naipenda jumamosi make ijumaa nipo mzigoni kama kadaiwa vivian
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mimi leo nina raha sana pia.....i love ijumaa.....
   
 5. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Week end ndio imeanza hivyo sasa ukitoka kwa job kwanza unatipia sehemu yenye kaka yake kuku ya kuoka kisha unashushia na mbili za baridii, halafu unamtafuta waubani wako safari kujirusha!
   
 6. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nkem how much do you want yo!
   
 7. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kwa jinsi ulivyo huna haja ya kwenda saloon pitia pale B.bar au pale masaki karibu na sea cleef pata noah ya kutosha, mi nichkulie mishikaki tu, ukitoka nipitie hapa sinza nina wine na wisky kama kuna cha kuongeza utaniambia then tutachagua seheme yenye upepo mnana tuwakaribishe na wanachit chat wengine tubadilishane mawazo ikifika mida ya rumba tunachagua pa kutumbukia ikifika alfajiri kila mtu home kupumzika. unaonaje hiyo?
   
 8. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mamyyy Preta tuambiane jamani mshahara wa katikati ya wezi umetoka nini? tushangilie wote... na raound tuzungushe wote tusijetegeana kwenye kuagiza..
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hiyo mishkaki anayokuchukulia......nani analipa....?
   
 10. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mkuu j3 unaweza kujikuta mwenyewe kama mchawi wadau wengi wanakuwa wanawajibika J3 nzuri kama unaenda nyumba za wageni hukuti zimejaa.
   
 11. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahaha namtumia kwenye Mpesa nasubiri anitumie namba yake. Preta una machale ulifikiri namkopa nini???
   
 12. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Please call me 0713 26-800. Naomba U gues hiyo number ya kati kati. try from 0-9
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Aaaa mtoto vivian unataka tutoke wote............?
   
 14. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mmh umekuwa mtihani.. nimekisiaa naona sipati niPM ndio njia rahisi
   
 15. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mimi pia naipenda ijumaa sana, kazi mwisho saa sita then nikutupa shida chini na kunyanyua mikono kisha na ba...ba..banjuka tuuuu...tuuu
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  huz, utaenda kubanjuka na nani leo make me nipo kwa hosp,kama vp njoo tukeshe tu huku hosp!
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Aaaiseeeeeeeee...........
  Upo makini na PESA......!!!
  Hahahahaa... unatisha...............!!!
   
 18. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  sijui nilikuonaga wapi vile. halafu wewe. ujue nakuogopa sana wewe
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  aaaaaagh usiniogope bhana....
  Mimi ni kijana mwema sina makuu najua kupeti peti....
  Utapata raha ya IJUMAA.........
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,829
  Trophy Points: 280
  Mi napenda siku zote lakini siku itakoyo angukia mfuko umepwaya inanikera!
   
Loading...