Naipenda Sana Ijumaa

Naipenda Sana Ijumaa

**** the recessheeeeeeen im spendiiiiiing pararaaa pararaaaaaa :lalala:tututuutututuuuuuu:clap2:😛opcorn:😛eace::bathbaby:
 
Akina mamiito na Dadiito.

Nashindwa hata kupanga ratiba as am so ecited jamani. hebu nisaidieni.

kwa kuanzia natoka job saa saba.


Mwenye atakayenipa ratiba nzuri nitampa siri yangu.

hapo pa kibuluu panahusika MY SWEET DARLIEEE...
sa mbona unamwaga utamu nje nje aisee...
usitoe iyo "siri" yako bana...
 
TK Hivi Vivian nakufananisha au? Hivi tulionana wapi tena? Nikumbushe jamani...
 
Back
Top Bottom