cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,771
- 73,513
- Thread starter
- #501
Coco ndo imekata jamani mbona ilikua imefika patamu
Mwandishi akiendelea nitaileta..
Coco ndo imekata jamani mbona ilikua imefika patamu
Mkuu umefanya haraka kuileteta sasa utaatacha tufe na hamu zetu duhMwandishi akiendelea nitaileta..
Nimeimiss kweli.Mwandishi akiendelea nitaileta..
Hii story imesababisha nimeunguza viazi vyangu, nimekuta vimeshakuwa mkaa
Hahaha eti vimekuwa mkaa! Pole Mkuu, juzi niliunguza chakula pia.!!Hii story imesababisha nimeunguza viazi vyangu, nimekuta vimeshakuwa mkaa
Nadhani ulinogewa na raha ya mama Dii.Hii story imesababisha nimeunguza viazi vyangu, nimekuta vimeshakuwa mkaa
Hii story imesababisha nimeunguza viazi vyangu, nimekuta vimeshakuwa mkaa
Hahaha pole em nipe namba yako nikutigopesa hapa kama fadhili
Nishapika kabisa, ngoja niikalie niisomePole sana. Endelea #28 nimeirusha.. maliza kupika kwanza😁