Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

Daah kuna muda tulikuwa vivuruge jamani khaa; kweli uhenga dawa
Hata mimi sipendi kupotea ila ninyi company yangu mkipotea ndiyo mnanifanya nione JF haina maana!

Na mimi nimeona nianze kupita kimya kimya tu ukizingatia siku hizi utoto umekuwa mwingi natamani hata ningekuwepo zile enzi zenu wakongwe mlivyokuwaga mnachitchat wenyewe hadi raha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom