Hata najua basi naibaga picha za watu ujue mm kibonge mweusiWewe njoo tu baby hii five star hotel ni kwa ajili yako ..you deserve to own it Honey
Nb:avatar zako huwa nazielewa ..hapo ulikuwa wapi!
Kwa vitendo Blaki WomaniKwa maneno ama vitendo
Hahahh shunie una vituko sana aiseee!! Kwan vibonge ndio hawapendwiHata najua basi naibaga picha za watu ujue mm kibonge mweusi
Kwahiyo utanipenda na huu ukibonge wangu hautanikimbia na kuja kuniwekea thread jf nakuja jamani uko pm tatizo nimesahau hata kupm inakuwajeHahahh shunie una vituko sana aiseee!! Kwan vibonge ndio hawapendwi
Alafu kule kwa pm naona ubao unasoma bila bila ..shunie tunakwama wap mama
Sio nitakupenda .yani mpaka hapo nilishakupenda ..hao wanaokimbia wanawake hawajitambui ..mwanamke hakimbiwi ..tukiwa pamoja inabidi tuhi sahau jf kwa muda.Kwahiyo utanipenda na huu ukibonge wangu hautanikimbia na kuja kuniwekea thread jf nakuja jamani uko pm tatizo nimesahau hata kupm inakuwaje
Nimeweka mbona ipo mpya inaitwa scaila michaelSio nitakupenda .yani mpaka hapo nilishakupenda ..hao wanaokimbia wanawake hawajitambui ..mwanamke hakimbiwi ..tukiwa pamoja inabidi tuhi sahau jf kwa muda.
Vp siku hizo huweki sikulizi mpya kule jf inter ..nikazisome
Ndio maana na kukubali sana ngoja nikasome nitakuletea mrejesho mkuuNimeweka mbona ipo mpya inaitwa scaila michael
Tuingie kati madam ujioneeKwa maneno mpo wengi sana
Atakuja kusema neno usikuCocochanel sema hata neno ..Mimi na shunie tufurahi ..si kupita kimya mkuu
Asante sana mkuu wangu ubarikiweNdio maana na kukubali sana ngoja nikasome nitakuletea mrejesho mkuu
Cocochanel sema hata neno ..Mimi na shunie tufurahi ..si kupita kimya mkuu
Nahitaji uahawishi wako kwa shunie labda atakuamini wewe rafiki yake ..ili awahi huku fadhili nimepatikanaNawasoma tu huku napata picha yangu mwenyewe, sipendi kuingilia ya watu hadi ikibidi. Unahitaji ushauri au?😁
Hahahah roho inasita kukuamini ww ni fadhili yaaniNahitaji uahawishi wako kwa shunie labda atakuamini wewe rafiki yake ..ili awahi huku fadhili nimepatikana
Cc.shunie