Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

Kwahiyo utanipenda na huu ukibonge wangu hautanikimbia na kuja kuniwekea thread jf nakuja jamani uko pm tatizo nimesahau hata kupm inakuwaje
Sio nitakupenda .yani mpaka hapo nilishakupenda ..hao wanaokimbia wanawake hawajitambui ..mwanamke hakimbiwi ..tukiwa pamoja inabidi tuhi sahau jf kwa muda.

Vp siku hizo huweki sikulizi mpya kule jf inter ..nikazisome
 
Nimeweka mbona ipo mpya inaitwa scaila michael
 
Ukianza uzinzi ukubwani unaweza kuwa kama wale malimbukeni wa mapenzi, mama Di kanogewa kweli yaani hadi anatamani mumewe afe ili afaidi uzinzi hahahaaaaa...... Mapenzi bhana, usiombe yakushinde aheri ushinde wewe kuliko yenyewe.

T
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom