Suala la ufisadi halihusiani kabisa na mapenzi ya mtu kwa mwanaeUkisoma kashfa na kuangalia picha unaweza kushangaa ujasiri unatoka wapi wa kufisidi kiasi kile ikiwa ana roho kama sisi za kujali watoto.
Na ndiyo maana kuna msamiati "Unafiki".Suala la ufisadi halihusiani kabisa na mapenzi ya mtu kwa mwanae
Mtu anaweza kuwa mnafiki kwa mwanae? Mkuu acha hizoNa ndiyo maana kuna msamiati "Unafiki".
Umenielewa kwa upande mwingine. Nilioumaanisha mimi ni huu:Mtu anaweza kuwa mnafiki kwa mwanae? Mkuu acha hizo
hahahahawababa wa namna hii wanaletaga ubishi sana siku tukileta mahari.