barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Kila mtu mzima anaejimudu anapapenda alipo ndio maana yupo hapo.
Wa Mwanza ndipo alipopapenda, wa Dom anapapenda Dom, wa Tandahimba nae halikadhalika.
Kila mji una wahamaji na wahamiaji.
Kwa Tz hii aisee napapenda Dar na joto lake, vurugu, foleni, biashara, starehe, kazi, kusoma, matibabu... n.k,
kuna aliekulazimisha uje DAR? baki huko huko hatuwezi kuishia DAR wote..naipenda DAR. my city
Pamoja na kuwa wame-settle huko wanakokupenda, ila Dar LAZIMA waje, eidha kutembea au iliku-survive huko walipo! Tofauti na mkazi wa Dar kutaka kwenda huko walipo wengine!!
Watu wa New York wanasema they are not concerned with what is going on in the world, but the world is concerned with what is going on in New York. Na kiukweli, many New Yorkers don't give a damn what's goin on in the world!
Ndo ilivyo Tz, Dar ni kama New York!
Hata wakijenga huko, ni LAZIMA waje kuchungulia huku tunafanya nini! Hii haikwepeki kwa mtanzania wa leo!! Mtu wa bara ataiponda sana Dar, ila muulize, ameshafika Dar mara ngapi? Na je huwa anashikiwa bunduki kuja au anajileta mwenyewe??
Naipenda Dar, my City! Hata Navy SEALs hawanitoi hapa!!
sijakuona jana vipi? njoo NEWSCAFE baadae
Utani utani mwisho kweli.....
Sea Cliff n Double Treesamaki samaki. high spirit. club rouge.rhapsody
savannah lounge.elements.wantashi.escape one. slipway. capetown fish market. newscafe. slipway. stake ranch.george and dragon.havana lounge hizo ni sehemu chache tu simple ambazo zitakufanya uipende DAR
Picha zote mbona zimepigwa usiku?
Zikipigwa mchana kutakuwa na mabadiliko yoyote?
Are you serious?
View attachment 221324karibu beer
Nashukuru umeweza kumjibu kama inavyotakiwa.
kwa upande wangu sikaa dar wala sitanunua kiwanja sehemu yoyote dar.
kama kujenga gorofa nitajenga huku huku kijijini kwetu.
Hata wakijenga huko, ni LAZIMA waje kuchungulia huku tunafanya nini! Hii haikwepeki kwa mtanzania wa leo!! Mtu wa bara ataiponda sana Dar, ila muulize, ameshafika Dar mara ngapi? Na je huwa anashikiwa bunduki kuja au anajileta mwenyewe??
Naipenda Dar, my City! Hata Navy SEALs hawanitoi hapa!!
uko sahihi kabisa mkuu. Kuna wengne hapo wanaimba tu dara, dar dar lakn hizo sehem nzuri za dar wanazionna kwa mbaali zikifaidiwa na wa asia....
Si bora nibaki hukuhuku kwetu matema nikila upepo wangu wa nyasa freshiiiiii