Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
unapopenda boga penda na ua lake, picha zako ni za kuchagua mno, sioni kwetu tandale, mbagala, vingunguti, tufanyie haki...
Unaweza ukaipenda kwa kuangalia hayo majengo tu lakn ukawa buguruni malapa au tandale........
Swali ni je unanufaika vip na hayo maeneo mazuri uliyoyaweka kwenye picha?
Kwasababu kuna wengne wapo dar lakn maeneo kama hayo wanayaona kama tuonavyo miji kama miami kwenye filamu

napenda foleni.za dar,magari ni mengi hadi raha kila aina utayaona huko!
_kama pale salender yanapita mavx v8 full tinted sijui huwa yanaenda wapi
Nashukuru umeweza kumjibu kama inavyotakiwa.
kwa upande wangu sikaa dar wala sitanunua kiwanja sehemu yoyote dar.
kama kujenga gorofa nitajenga huku huku kijijini kwetu.
Halafu kuna mijitu ya ajaabu huko toka bara wanataka kufananisha MZIZIMA na mwanza.... labda kwa idadi ya ngo'mbe basi bwanza wanaongoza
Eiyer
sijakuona jana vipi? njoo NEWSCAFE baadae
sawa tutaanza mapenzi yetu hapo
tandale sio dar es salaam...tunapozungumzia dar es salaam hapa tunazungumzia posta,upanga osterbay masaki mbezi beach na bahari beach....uko tandale mbagala etc ni maeneo tu karibu na mji wa dar es salaam