Naipenda CCM na nitaipenda Daima kwa sababu...

Virus alert!!!!!!!!!
Close your folders before they can be infected!!!!!!!!!!!!!
 
Naipenda ccm kwasababu imeonesha sura halisi ya wenzetu. Tumefahamu akina EL, RA, CHENGE nk. Hawa hawafai kupewa madaraka maana ni walafi. Akina Lusinde ni waropokaji, akina Shibuda ni wanafiki, akina Sendeka ni waigizaji, akina Mwigulu ni wazinzi, akina JK ni dhaifu! Naipenda maana nisingewafahamu hawa!
 
Naipenda ccm kwasababu imeonesha sura halisi ya wenzetu. Tumefahamu akina EL, RA, CHENGE nk. Hawa hawafai kupewa madaraka maana ni walafi. Akina Lusinde ni waropokaji, akina Shibuda ni wanafiki, akina Sendeka ni waigizaji, akina Mwigulu ni wazinzi, akina JK ni dhaifu! Naipenda maana nisingewafahamu hawa!

daa kaka umemaliza kila kitu, hahahaaaa,.nimecheka sana
 
CCM ni baba yangu na CCM ni mama yangu, na Tanzania ni nchi yetu sote. Tudumishe demokrasia na mshikamano kulinda uhuru wa nchi yetu.

Kama wewe huipendi CCM, na huipendi PPT-Maendelo, huipendi CDM, huipendi CUF na huipendi TLP, wala huipendi NCCR-Mageuzi, na hupendi chama chochote cha siasa.........basi we si Mtanzania mpenda maendeleo. CCM juu, juu, juu zaidi!

hayo yote uliyoandika hapo juu yabadilishe yawe naipenda CHADEMA, nakipenda sana hiki chama kwangu ni kila kitu.
 
Ndiyo maana tunasema hizi shule zifungwe kuliko kuwa na wahitimu wa kidato cha nne wasiojua mwelekeo wa maisha yao, bora wasisome'

jaman kwenye hizo hayo mabanda ccm inayoita shule za kata hali ni mbaya mtu kama anabisha tulizeni tuliopiga tempo hko,.
 
mimi ni kiongozi wa ccm tawi fulani, wakat najaza fomu ya kuomba uongozi nilishindwa kuuzuia moyo wangu nakujikuta natamka kwamba, "moyo wangu upo cdm" mgombea mwenzangu mmoja naye akajibu, "hata mm hivyo hivyo" Tukashauriana tusihame ccm iliturahisishe anguko lake. Kwa hiyo siyo kila ccm ni real, wengne tupo kwa kaz maalum! Kiukweli naichukia ccm kwa sababu ni dhaifu.
 
CCM hiii ya chama kinachojifunza siasa au Chai Chapati Maharage (CCM)? nadhani itakua ni hii ya pili kama ni hii ya Chai Chapati Maharage uko sahihi na mimi naipenda sana hasa ukiipata kwa asubuhi ila jioni kama wewe ulivyoipata hua inaleta shida
 
Nakosa maneno dhahili ya kusema yakawa na uzito sawa uliomo ndani yanguu kuelezea ninaichukia sisiemu. Basi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom