Naionya China, isijaribu

Hatari hiyo mkuu๐Ÿ˜€
 
Mkuu haya unayosema kwa namna fulani nakubaliana na wewe. Lakin tukubali tu kwamba hasara kubwa anayoipata ni yeye sio Marekani, NATO nk. Kama marekani imeweza mutumia mabilioni ya dola kusaidia nchi mbali mbali aidha kwa faida au vinginevyo ni vipi atakuja kupata hasara leo kwa kuisaidia Ukraine? Kushindana na Marekani sasa hivi ni sawa na kujaribu kumuiga tembo kun.y..a mwishoni utachanika m..
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mkuu China hana ujasiri wa kufanya chochote kwa Marekani, bora muirani ni mwanaume. Akisema hataki marekani avuke mstari huu na kweli marekani akivuka lazima majibu atayapata tena kwa wakati ule ule waliopanga. Hawa jamaa wasingewekewa figisu za kutengeneza masilaha na kumiliki uchumi mkubwa kama China, nina imani wangeisumbua sana marekani.
 
Iache iporomoke kiuchumi ili isiwe na hela za kuwajaza wachina africa. wamekuwa kero kila mahali africa hawa wachina. halafu lazima walipe hasara ya kuleta siasa za kupeleka vijana vijijini, kukamata wazururaji na kujenga vyuo vya propaganda.
 
Mkuu akilihuru Marekani ni nchi kubwa yenye nguvu duniani na hii ni moja ya uthibitisho mwingine kuwa Urusi si wakubeza sana sababu USA anavyodeal nae ni tofauti kidogo na anavyodeal na nchi nyingine. Hata ishu ya China vs Taiwan angalia USA alichofanya halafu ulinganishe na suala la Ukraine vs Russia kabla Ukraine haijavamiwa.
 
Naaaam!
 
China ameshalisoma SoMo vizuri sana kupitia kile kinachoendelea nchini Ukraine,
Kwa hiyo usitegemee kumuona china akijiingiza kwenye mgogoro wakati huu,

Anachofanya china Kwa Sasa ni kufutafuta tu aibu Ili ulimwengu uendelee kumuona kama super pawer
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti maeneo yasiostahili mtu kucheka hovyo hovyo.
 
Sasa hao watu wengi ikawaje wakashindwa jua Pelosi anaenda Taiwan hadi waliposikia kwenye vyombo vya habari, ndo wakaanza mobilization ya vifaa?
 
Mkuu laiti ungeyajua maumivu anayopitia mrusi kutokana na vita vyake kule Ukraine wala usingekuja kupongeza vita hivyo. Mpaka sasa mrusi ashapoteza maelfu ya wanajeshi wake wakiwemo majeneral wakubwa, mrusi ashapoteza silaha nyingi katika vita na bado matumaini ya kushinda vita hiyo hayapo. Hapo hatujazungumzia madhara yatokanayo na vikwazo vya west countries. Kwahiyo ni lazima mrusi atakuwa ashamsimulia mchina kwamba asijaribu kakwe kuivamia taiwan, maana hasara atakayopata ni kubwa kuliko faida.
 
Acha kutudanganya,huyo ni mnaa maana anawatumia mazuzu yeye kuwa salama๐Ÿค”
Sasa kuwatumia mazuzu ni moja ya njia ya ushindi vitani. Ndo maana hata katika mpira ukijifunga goli mwenyewe inasabiwa umefungwa tu.
 
Kweli mkuu, vita vya Ukraine vimei cost na kuipa hasara kubwa Russia. Hapo bado hatujazungumzia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa wa watemi hawa wa dunia ya kwanza. Miaka 3 ijayo Russia itakuwa nyuma hata ya Saudia Arabia kijeshi na kiuchumi.
Vita urusi imepata faida hasa kuyachukua maeneo muhimu kama kinu kikubwa kabisa cha nuclear hapo ulaya na sehemu zenyewe migodi mingi na viwanda vingi hapo urusi imechukua karibu asilimia 95 la eneo lote la kulima ngano hapo Ukraine

Upande WA vikwazo kila mtu ni shahidi vikwazo vimewapiga wao kuliko hata urusi na kupelekea regime change

Ukweli mchungu hii vita West wameishiwa mbinu hata himars zimeshindwa kufua dafu kwa urusi ha ha ha ha ha ha ha ha ha Putin aliletwa kuwashughulia hawa wapuuzi WA West
 
Vikwazo Kwa warusi SII jambo geni na ndio maana wapo tayari kupambana na mabeberu na kutafuta ushawishi duniani Kwa gharama yeyote,mwanajeshi kufa vitani ni sehemu ya kazi kama ilivyo kazi zingine na porojo za beberu wala hazimtishi kwani adui hukuombea njaa siku zote๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ