china bro ni nchi yenye strong bank ulimwenguni,ina contribute approximately 64 percent of industrial goods.hizo nchi kamwe ht zikisema ziiweke vikwazo china vitakwama. Asia,South america,Africa,carrebean islands kote huko bidhaa za China zipo kwa wingi kuliko unavyodhania,kote huko wamekopeshwa na benki ya china ,kote huko china ana ushawishi pia.NIJIBU KAKA HAPO WAPI VIKWAZO VYA KIUCHUMI VITAFANYA KAZI?Marekani ukiachilia mbali nguvu za kijeshi pamoja na uchumi mkubwa, pia imefanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa katika zile nchi muhimu zenye kushikilia uchumi wa dunia.
Baadhi ya nchi hizo ni 👇
1) UK
2) Germany
3) France
4) Italy
5) Scandinavia countries
6) Canada
7) Australia
Na nyinginezo nyingi ambazo sikuzitaja. So hizo nchi zikishawishiwa na Marekani kuiwekea vikwazo China ujue China itaanguka vibaya, kwan yenyewe inategemea zaidi uuzaji wa bidhaa zake mbali mbali katika nchi hizo. Ila yenyewe haina resources kama zile zilizopo Russia, Iran nk.
Yani wakubwa hao wakiiwekea vikwazo vya kiuchumi, amini China itakuwa tabaan kama North Korea.
ILA KAKA NAPENDA SANA POINT ZAKO ZINANIFUNGUA SANA NA KUNIFANYA NIWEZE KUJENGA HOJA KONGOLE KWAKO BRO,LETE NONDO ZAIDI.Marekani ukiachilia mbali nguvu za kijeshi pamoja na uchumi mkubwa, pia imefanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa katika zile nchi muhimu zenye kushikilia uchumi wa dunia.
Baadhi ya nchi hizo ni 👇
1) UK
2) Germany
3) France
4) Italy
5) Scandinavia countries
6) Canada
7) Australia
Na nyinginezo nyingi ambazo sikuzitaja. So hizo nchi zikishawishiwa na Marekani kuiwekea vikwazo China ujue China itaanguka vibaya, kwan yenyewe inategemea zaidi uuzaji wa bidhaa zake mbali mbali katika nchi hizo. Ila yenyewe haina resources kama zile zilizopo Russia, Iran nk.
Yani wakubwa hao wakiiwekea vikwazo vya kiuchumi, amini China itakuwa tabaan kama North Korea.
Mkuu narudia tena, pamoja na kwamba China ina ushawishi mkubwa kwa baadhi ya nchi za Asia, America ya kusini, Africa nk.china bro ni nchi yenye strong bank ulimwenguni,ina contribute approximately 64 percent of industrial goods.hizo nchi kamwe ht zikisema ziiweke vikwazo china vitakwama. Asia,South america,Africa,carrebean islands kote huko bidhaa za China zipo kwa wingi kuliko unavyodhania,kote huko wamekopeshwa na benki ya china ,kote huko china ana ushawishi pia.NIJIBU KAKA HAPO WAPI VIKWAZO VYA KIUCHUMI VITAFANYA KAZI?
Asante mkuu, hata wewe pia si haba, kuna baadhi ya mambo pia najifunza au nayapata kutoka kwako mkuu.ILA KAKA NAPENDA SANA POINT ZAKO ZINANIFUNGUA SANA NA KUNIFANYA NIWEZE KUJENGA HOJA KONGOLE KWAKO BRO,LETE NONDO ZAIDI.
Kaka Kwa mm navyoona Mchina ameogopa VIKWAZO ili gap kati yake na USA isiongezeke.Mkuu narudia tena, pamoja na kwamba China ina ushawishi mkubwa kwa baadhi ya nchi za Asia, America ya kusini, Africa nk.
Lakini bado pato lake kubwa zaidi linategemea nchi za ulaya haswa haswa zile za West Europeans countries na Marekani. Hizo nchi zingine ulizozitaja uchumi wake ni wa kuunga unga, kwahiyo hata raia wao ununuaji wao wa bidhaa kutoka China ni mdogo ukilinganisha na manunuzi yanayofanywa na raia wa nchi za Ulaya.
Fikiria toka Mmarekani na swahiba zake (NATO - ulaya) walipomwambia Mchina asipime kujaribu kumsaidia Mrusi maana atakutana na vikwazo ambayo itakuwa ngumu kuvikwepa, je ushamuona tena anajihusisha moja kwa moja na mzozo wa Ukraine zaidi ya kuongelea kwa mbali tu ili asikike. Watu wengi wakiwepo warusi wenyewe walitegemea labda mchina angekuwa nyuma yao katika vita ile. Ila mpaka leo kauchuna tu, anaogopa wakubwa hao wasije kumfanya akose hata hela ya kuwalipa watumishi wake wa serikali huko mbele. Mchina kashindwa hata na mu Iran ambae kwa ubabe wake ametuma ndege zisizo na ruban kumsaidia mrusi. Na pia Iran juzi wamemuazima mrusi satellite yao mpya kabisa ambayo haijawahi kutumiwa na nchi yoyote ile zaidi ya yenyewe Iran na swahiba wao mrusi.
Ila mchina ameshindwa kufanya lolote la maana kwa jirani yake huyo (mrusi) kwa lengo la kuogopa vikwazo. So unawezaje kusema kuwa eti hata wakiwekewa vikwazo watakuwa sawa tu?
Sijasema watakua sawa kaka ila China haitaanguka kiwepesi hivyo.Mkuu narudia tena, pamoja na kwamba China ina ushawishi mkubwa kwa baadhi ya nchi za Asia, America ya kusini, Africa nk.
Lakini bado pato lake kubwa zaidi linategemea nchi za ulaya haswa haswa zile za West Europeans countries na Marekani. Hizo nchi zingine ulizozitaja uchumi wake ni wa kuunga unga, kwahiyo hata raia wao ununuaji wao wa bidhaa kutoka China ni mdogo ukilinganisha na manunuzi yanayofanywa na raia wa nchi za Ulaya.
Fikiria toka Mmarekani na swahiba zake (NATO - ulaya) walipomwambia Mchina asipime kujaribu kumsaidia Mrusi maana atakutana na vikwazo ambayo itakuwa ngumu kuvikwepa, je ushamuona tena anajihusisha moja kwa moja na mzozo wa Ukraine zaidi ya kuongelea kwa mbali tu ili asikike. Watu wengi wakiwepo warusi wenyewe walitegemea labda mchina angekuwa nyuma yao katika vita ile. Ila mpaka leo kauchuna tu, anaogopa wakubwa hao wasije kumfanya akose hata hela ya kuwalipa watumishi wake wa serikali huko mbele. Mchina kashindwa hata na mu Iran ambae kwa ubabe wake ametuma ndege zisizo na ruban kumsaidia mrusi. Na pia Iran juzi wamemuazima mrusi satellite yao mpya kabisa ambayo haijawahi kutumiwa na nchi yoyote ile zaidi ya yenyewe Iran na swahiba wao mrusi.
Ila mchina ameshindwa kufanya lolote la maana kwa jirani yake huyo (mrusi) kwa lengo la kuogopa vikwazo. So unawezaje kusema kuwa eti hata wakiwekewa vikwazo watakuwa sawa tu?
RUSSIA iwe nyuma ya SAUDIA kijeshiRassia inapata hasara kubwa sana kijeshi, hapo hatujazungumzia vikwazo vya kiuchumi.
Baada ya miaka mitatu ya mbele Russia itakuwa nyuma hata ya Saudia Arabia kijeshi na kiuchumi.
Eti walimdindiaWatu hawaelewi bwashee ,kwanza ukiwa vitani ni ngumu wawekezaji kuwekeza kwako kuhofia usalama,pia vita inaharibu diplomatic relationship, vita inatafuna bajet ya nchi,vita vinamaliza wanajeshi muhimu,vita vinaua biashara,yaan nikuambie tuu Russia anasababisha hasara kwa pande zote mbili,,ila navyoona Russia mda si mwing ataomba wayamalize mezan maana kama walimdindia kumwachia yule demu mcheza basketball kwa njia ya SWAP Jana naona Russia wamekubali yaishe.ngoja tuone maana sisikii tena Putin akileta mbwembwe
Kazi ya waziri wamambo ya nje ipi MKUU kwan alichokifanya SERGEI na alichokifanya BLINKEN kinatofauti gani kwa PUTIN na BIDENHahaha Putin kanywea kama kidonge kinapowekwa ndan ya glas ya maji.
Sasa hivi anamtumia sana waziri wake wa mambo ya nje katika mambo yake.
Havipo huru ila wewe umejua kama jamaa wameichoka sirikali yaoKule vyombo vya habari havipo huru, kwahiyo hata kama wamechoka hawana pa kuongelea hilo swala na wakasikilizwa. Ndio maana wengi wa walioletwa huku Afrika wameamua kujichimbia huku ili kukwepa aina ya siasa na mfumo wa maisha uliyopo nchini kwao. Wengi wanajuta kuumbwa wachina.
Analinda usalama wataifa lakeYani kabisa umekaa ukafikiria kutoa mfano wa Ukraine na mke?
Je Putin ana uhalali gani wa kumpangia ukraine cha kufanya kama anavokuwa na uhalali mume kumpangia mke wake cha kufanya? Mfano wa kipuuzi kabisa huu.
If alitegemea !!?In terms of military technology, Russia na China ni za kawaida tu. Na hii imekuja baada ya sote kushuhudia mbungi ya hapo Ukraine.
Tumeshaona namna mambo halivyobana kwa Russia, ametumia Hypersonic Missiles, Laser Weapons, Jets za kisasa n.k na bado vyote hivi havijaweza kufua dafu kama alivyotarajia.
Sasa je, China yeye tec yake itafua dafu huko Taiwan? Russia alitegemea huu mwiba angekaa nao kwa mwezi wa sita sasa? If hakutegemea, Je China ina uhakika gani wa kutumia muda mfupi wa vita hiyo akitaka kuanzisha?
Wakati vita vinaanza, China alitoa msaada kwa waathirika wa Ukraine. Huu ni usaliti mzito mno kwa best yake Russia. China leo akiingia Taiwan, Russia atamuunga mkono kinafki mno China kutokana na sababu mbili, moja ni ile ya yeye kuwa bado ana mwiba wake ambao ni Ukraine. Na mbili ni usaliti wa China kwa Russia.
Japan, India n.k nahisi wao watakuwa na hamu kubwa mno ya kutaka China aingie hapo Taiwan. Tukumbuke pia, endapo Taiwan ikamtikisa vyema China, kuna uwezekano maeneo mengine ya china yakataka kujitenga na China kama Hong Kong n.k
Wakati naandika hii comment kuna kitu hapa nakifkiria mkuu, hivi sio kwamba pengine CIA walipanga Russia apate vita yoyote ya kumsumbua ili ikitokea Vita ya China na Taiwan basi Russia asipate nguvu ya kumtetea China?
Taiwan sio nchitaiwan ndo nchi muhimu kuliko zote duniani kwenye upande wa SEMI CONDUCTORS, ni ngumu sana vita kufanyika
Taiwan sio nchiMkuu Hong Kong ni sehemu ya China kama ilivyo Zanzibar ndan ya Tanzania, na viongozi wa jimbo hilo la Hong Kong wanaongozwa na wa serikali kuu ya China.
Lakini Taiwan ni nchi huru inayojitawala yenyewe, kwahiyo ni vitu viwili tofauti. Hata hivyo kama ulivyosema, China haiwezi kuingia mzima mzima maana hasara itakayopata ni kubwa kuliko faida.
Wana operating system yao OS HARMONY.Mkuu kawaulize Huawei ambao waliwekewa vikwazo na Trump wako wapi sikuhizi?
Ndio inawezekanahivi china inaweza kuiwekea vikwazo U.S.A?
Hata wakiwa wana nini shida ni simu zao zimefutika sokoni.Ba
Wana operating system yao OS HARMONY.