Ninaandika maneno haya nikiwa na majonzi makubwa, ninaomba tujikumbushe kidogo, Dr. Martin Luther (Jr) alipata kuandika kitabu kiitwacho, 'Where Do We Go From Here, Chaos or Community'? ni miaka ya 1960's. Ikumbukwe kuwa alitoa 'I HAVE A DREAM speech' 1963, kabla ya kuuawa, akatoa 'I SEE THE PROMISED LAND' 1968, Amen, naye Malcolm X, kabla ya kuuawa alitoa 'MAKE IT PLAIN', Amen itakumbukwa John F. Kennedy aliuawa 1963. Bila ya kumsahau Mandera naye 1964 alitoa 'I'M PREPARED TO DIE', Kama kuna mwaka Fidel Castro hawezi kuusahau ni 1967 ambapo Ernesto Che Guevara aliuawa huko Bolivia, kwa wenye kutaka kuchokonoa, wafatilie hotuba ya Guevara ya UN aliyoitoa 1964, siwezi kumsahau Mahatma Gandh, ni miaka hyo, MWANAUME WA KARNE alikuwa kazini "NYERERE" pamoja na lundo la vitabu alivyoandika, nitamkumbuka kwa kitabu cha 'WE MUST RUN, WHILE THEY WALK' na hotuba yake ya ' SECOND SCRAMBLE FOR AFRICA' inapatikana kwenye kitabu cha 'WORLD FAMOUS SPEECHES'. "TUTAWAKUMBUKA DAIMA" Ninaumia sana naomba niishie hapa. AMEN