Naiona CCM ikitawala miaka 100 zaidi

Naiona CCM ikitawala miaka 100 zaidi

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
308
Reaction score
424
Kwa ile nyomi ya jana pale Tanganyika Packers, naiona dhahiri CCM ikitawala kwa zaidi ya karne moja tena.

Kwanini?

CCM ina wanachama wengi, zaidi ya milioni 13 na ndio chama chenye wafuasi wengi zaidi waliosajiliwa Barani Afrika na kimo kumi 10 ya vyama vyenye wafuasi wengi duniani.

CCM ina rasilimali zote za msingi kukifanya kuendelea kusalia madarakani kwa miongo mingi zaidi. Assets zake zinakadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 1.5, ina midogi, viwanja vya mipira, kumbi na rasilimali nyingine za msingi.

CCM ina watu bwana, kuna aliyedhani kwamba Mama Asha Rose Migiro angerudi kubwa Katibu Mkuu wa chama? watu walishamsahau, lakini amerudi na kurudi kwake, ni ujumbe kwamba CCM ina hazina ya watu, tena watu wa maana ambao inaweza kuwatumia kwenye kuboresha shughuli za chama.

CCM ina connection ndani na nje ya nchi kama China, Cuba, Urusi na maeneo mengine nje ya nchi ambazo, zinazidi kuipa nguvu zaidi kuendelea kusalia madarakani.

Mwisho zaidi, CCM ina mikakati, tayari ina plan ya kuongoza 2030, 2040 na kuendelea hadi mwisho. Ukitazama kwa jicho la kawaida sana, utagundua kwamba hakuna chama kingine cha siasa hapa Tanzania, chenye msuli wa kushindana na CCM, hakipo.
 
1756410924006.jpg

Watu kibao kweli kweli...
 
Miaka 100 ijayo, ina maana itakuwa Mwaka 2125

Hakuna atakaye kuwa hai kushuhudia hayo, sio mwanzisha Uzi Wala sisi wasomaji
 
Kwa ile nyomi ya jana pale Tanganyika Packers, naiona dhahiri CCM ikitawala kwa zaidi ya karne moja tena.

Kwanini?

CCM ina wanachama wengi, zaidi ya milioni 13 na ndio chama chenye wafuasi wengi zaidi waliosajiliwa Barani Afrika na kimo kumi 10 ya vyama vyenye wafuasi wengi duniani.

CCM ina rasilimali zote za msingi kukifanya kuendelea kusalia madarakani kwa miongo mingi zaidi. Assets zake zinakadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 1.5, ina midogi, viwanja vya mipira, kumbi na rasilimali nyingine za msingi.

CCM ina watu bwana, kuna aliyedhani kwamba Mama Asha Rose Migiro angerudi kubwa Katibu Mkuu wa chama? watu walishamsahau, lakini amerudi na kurudi kwake, ni ujumbe kwamba CCM ina hazina ya watu, tena watu wa maana ambao inaweza kuwatumia kwenye kuboresha shughuli za chama.

CCM ina connection ndani na nje ya nchi kama China, Cuba, Urusi na maeneo mengine nje ya nchi ambazo, zinazidi kuipa nguvu zaidi kuendelea kusalia madarakani.

Mwisho zaidi, CCM ina mikakati, tayari ina plan ya kuongoza 2030, 2040 na kuendelea hadi mwisho. Ukitazama kwa jicho la kawaida sana, utagundua kwamba hakuna chama kingine cha siasa hapa Tanzania, chenye msuli wa kushindana na CCM, hakipo.
Kwani wewe ni Nabii?
 
Eti watatibu Figo Bure, matundu ya vyoo tu yamewashinda.
 
Hatari ya kupoteza madaraka ccm ipo ndani zaidi ya nje. Wakiwa wamoja ni ngumu kuwamudu, kinyume chake ni kugawana mbao wao wenyewe.
 
wanasema wamesombwa, ila mbona wanashangilia?
Wanasema wamepewa hela, vipi kama ndicho wanachokitaka?

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Kwa ile nyomi ya jana pale Tanganyika Packers, naiona dhahiri CCM ikitawala kwa zaidi ya karne moja tena.

Kwanini?

CCM ina wanachama wengi, zaidi ya milioni 13 na ndio chama chenye wafuasi wengi zaidi waliosajiliwa Barani Afrika na kimo kumi 10 ya vyama vyenye wafuasi wengi duniani.

CCM ina rasilimali zote za msingi kukifanya kuendelea kusalia madarakani kwa miongo mingi zaidi. Assets zake zinakadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 1.5, ina midogi, viwanja vya mipira, kumbi na rasilimali nyingine za msingi.

CCM ina watu bwana, kuna aliyedhani kwamba Mama Asha Rose Migiro angerudi kubwa Katibu Mkuu wa chama? watu walishamsahau, lakini amerudi na kurudi kwake, ni ujumbe kwamba CCM ina hazina ya watu, tena watu wa maana ambao inaweza kuwatumia kwenye kuboresha shughuli za chama.

CCM ina connection ndani na nje ya nchi kama China, Cuba, Urusi na maeneo mengine nje ya nchi ambazo, zinazidi kuipa nguvu zaidi kuendelea kusalia madarakani.

Mwisho zaidi, CCM ina mikakati, tayari ina plan ya kuongoza 2030, 2040 na kuendelea hadi mwisho. Ukitazama kwa jicho la kawaida sana, utagundua kwamba hakuna chama kingine cha siasa hapa Tanzania, chenye msuli wa kushindana na CCM, hakipo

Wakuu na huyu anahitajika kuwekwa kenye BLACK LIST KUANZIA LEO TAREHE 29/08/2025
Naombeni ushirikiano
 
Sio kweli

Jiulize graph ya CCM inapanda au inashuka? Kama inapanda basi itabaki madarakani mikele ila kama inashuka maana yake CCM kufa ni suala la muda
 
Kutawala ? Je wananchi wanahitaji watawala ?!!!

Kama muendelezo utakuwa huu tegemea ya Gen Alpha kuwa makubwa na mabaya kuliko Dondoo za Gen Z Kenya...; Have Nots wanaongezeka Walamba asali wachache wanazidi kuwa walafi bila aibu na kutoa Kejeli...; Ugumu wa Kesho yetu au ya watakaokuwepo inasabibishwa na Upuuzi wanaofanya leo wasio na busara wala hekima (hawaangalii future) Case in Point...

Ukitaka nikupe mifano mingine lukuki ya jinsi wanavyozidi kupanda bangi badala ya mchicha niambie nikupe mifano
 
Labda itakutawala ww na mkeo lakini si watanganyika.
 
Kwa ile nyomi ya jana pale Tanganyika Packers, naiona dhahiri CCM ikitawala kwa zaidi ya karne moja tena.

Kwanini?

CCM ina wanachama wengi, zaidi ya milioni 13 na ndio chama chenye wafuasi wengi zaidi waliosajiliwa Barani Afrika na kimo kumi 10 ya vyama vyenye wafuasi wengi duniani.

CCM ina rasilimali zote za msingi kukifanya kuendelea kusalia madarakani kwa miongo mingi zaidi. Assets zake zinakadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 1.5, ina midogi, viwanja vya mipira, kumbi na rasilimali nyingine za msingi.

CCM ina watu bwana, kuna aliyedhani kwamba Mama Asha Rose Migiro angerudi kubwa Katibu Mkuu wa chama? watu walishamsahau, lakini amerudi na kurudi kwake, ni ujumbe kwamba CCM ina hazina ya watu, tena watu wa maana ambao inaweza kuwatumia kwenye kuboresha shughuli za chama.

CCM ina connection ndani na nje ya nchi kama China, Cuba, Urusi na maeneo mengine nje ya nchi ambazo, zinazidi kuipa nguvu zaidi kuendelea kusalia madarakani.

Mwisho zaidi, CCM ina mikakati, tayari ina plan ya kuongoza 2030, 2040 na kuendelea hadi mwisho. Ukitazama kwa jicho la kawaida sana, utagundua kwamba hakuna chama kingine cha siasa hapa Tanzania, chenye msuli wa kushindana na CCM, hakipo.
Rubbish!!
 
Mama yenu alisoma wapi first degree? Kwenye CV sioni
 
MITANO TENA

1756474799684.png
 
Back
Top Bottom