papaa2015 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 411 Reaction score 101 May 17, 2013 #1 hodi wana chit chat.....mi mgeni upande huu wa chit chat naombeni kuungana nanyi jamani. Naombeni ukaribisho. asante sana na natanguliza shukrani kwa ushirikiano ntakaopata.
hodi wana chit chat.....mi mgeni upande huu wa chit chat naombeni kuungana nanyi jamani. Naombeni ukaribisho. asante sana na natanguliza shukrani kwa ushirikiano ntakaopata.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 17, 2013 #2 teh teh teh... unaingia ndani hata mlango haujafunguliwa? karibu jiandae kukaguliwa! mkaguzi mkuu punde si punde atafika...
teh teh teh... unaingia ndani hata mlango haujafunguliwa? karibu jiandae kukaguliwa! mkaguzi mkuu punde si punde atafika...
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 May 17, 2013 #3 kabanga said: teh teh teh... unaingia ndani hata mlango haujafunguliwa? karibu jiandae kukaguliwa! mkaguzi mkuu punde si punde atafika... Click to expand... We mwenyeji tu unashukuru hata kabla ya kukaribishwa?
kabanga said: teh teh teh... unaingia ndani hata mlango haujafunguliwa? karibu jiandae kukaguliwa! mkaguzi mkuu punde si punde atafika... Click to expand... We mwenyeji tu unashukuru hata kabla ya kukaribishwa?
papaa2015 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 411 Reaction score 101 May 17, 2013 Thread starter #4 nakaguliwa nini tena?
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 May 17, 2013 #5 Karibu CC....
papaa2015 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 411 Reaction score 101 May 17, 2013 Thread starter #6 asante sana
YNNAH JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,706 Reaction score 974 May 17, 2013 #7 Karibu sana mkuu
papaa2015 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 411 Reaction score 101 May 17, 2013 Thread starter #8 asante YNNAH,ila unaonekana mzuri jamani sijui nilikuwa wapi kuingia huku zamani
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 May 17, 2013 #9 papaa2015 said: asante YNNAH,ila unaonekana mzuri jamani sijui nilikuwa wapi kuingia huku zamani Click to expand... haaa!!mgeni kulikoni mara hii ushaanza kusifia wake za watu lol!!ila karibu!!
papaa2015 said: asante YNNAH,ila unaonekana mzuri jamani sijui nilikuwa wapi kuingia huku zamani Click to expand... haaa!!mgeni kulikoni mara hii ushaanza kusifia wake za watu lol!!ila karibu!!
papaa2015 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 411 Reaction score 101 May 17, 2013 Thread starter #10 mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe@Passion Lady