Naingia kwenye maombi ya kumzuia Putin asiiangamize Dunia, maana amekasirika Sana!

Mimi Hitler nimemchukulia PhD. Nina mikanda kadhaa ya documentary zake, machapisho ya wanazuoni kadhaa kumhusu yeye na washirika wake wakuu katika chama cha NAZI na kundi la SS kina Albert Speer, Josef Goebbels, Heinrich Himmler, etc. Kitabu chake cha Mein Kampf.

Nimechambua mazingira yaliyomuwezesha kuingia madarakani kidemokrasia na kutengeneza utawala wa kidikteta kwa kutumia demokrasia ile ile iliyokuwepo Ujerumani. Chuki yake dhidi ya Wayahudi na mataifa mengine (duni) na majawabu ya ajabu “kiwendawazimu” aliyokuwa akiamua. Kuna kingine tena?
Mataifa duni ndo yapi hayo?,
Kwahiyo unakubali utawala wake ulikuwa wa kidikteta sasa nikuulize alikuwa ni dikteta wa kupayuka bila vitendo?
 
Niwaombeni wanamaombi tuingie kambini kuiombea Dunia dhidi ya hasira za Rais Vladimir Putin wa Russia

Putin amejiapiza kuwashughulikia wote waliohusika Kwenye shambulio la Moscow kuanzia waliowatuma hadi waliotekeleza

Hali ni ya hatari Sana 🐼

Tanzania ni kisiwa cha amani tuingie Kwenye maombi
Hana huwezo huo, stop overrationg him
 
Niwaombeni wanamaombi tuingie kambini kuiombea Dunia dhidi ya hasira za Rais Vladimir Putin wa Russia

Putin amejiapiza kuwashughulikia wote waliohusika Kwenye shambulio la Moscow kuanzia waliowatuma hadi waliotekeleza

Hali ni ya hatari Sana 🐼

Tanzania ni kisiwa cha amani tuingie Kwenye maombi
kuna base ya AMERIKA huko mashariki ya kati imeshambliwa sasa hivi!!!!..nahisi ni kisasi cha RUSSIA hicho!!
 
Niwaombeni wanamaombi tuingie kambini kuiombea Dunia dhidi ya hasira za Rais Vladimir Putin wa Russia

Putin amejiapiza kuwashughulikia wote waliohusika Kwenye shambulio la Moscow kuanzia waliowatuma hadi waliotekeleza

Hali ni ya hatari Sana

Tanzania ni kisiwa cha amani tuingie Kwenye maombi
Hata usijihangaishe kuingia kwenye maombi.
Hii dunia na vilivyomo ina mwenyewe na hakuna kamwe wa kuiangamiza ile Yeye.
Napye Putin na mfano wake wote ni viumbe na hawana madhara wala manufaa kwa viumbe
 
Mkuu hilo siyo jambo rahisi!
Sema atalipiza kisasi kwa namna ambavyo adui hatarudia.
 
Ukiwa ndio mara yako ya kwanza kuingia JF ukasoma habari za Putin au Iran unaweza jua ni watu wa maana na wenye nguvu kumbe vilaza tu. Ka Ukrine ambacho ni sawa na mkoa wa Morogoro kakashindwa mwaka wa 3 sasa. Hampshire yoyote hata sisi Watanzania hatumuogopi.
hahahaaa Ni sw na Morogoro ? Hatari sana
 
Niwaombeni wanamaombi tuingie kambini kuiombea Dunia dhidi ya hasira za Rais Vladimir Putin wa Russia

Putin amejiapiza kuwashughulikia wote waliohusika Kwenye shambulio la Moscow kuanzia waliowatuma hadi waliotekeleza

Hali ni ya hatari Sana 🐼

Tanzania ni kisiwa cha amani tuingie Kwenye maombi
..............................yeye mwenyewe atahamia Mars?
 
Ukiwa ndio mara yako ya kwanza kuingia JF ukasoma habari za Putin au Iran unaweza jua ni watu wa maana na wenye nguvu kumbe vilaza tu. Ka Ukrine ambacho ni sawa na mkoa wa Morogoro kakashindwa mwaka wa 3 sasa. Hampshire yoyote hata sisi Watanzania hatumuogopi.

Ukraine ni shimo lililoundwa kwa makusudi ya kutekeza utajiri wa kimagharibi.
 
Back
Top Bottom