Gemini6
Senior Member
- Jun 21, 2017
- 153
- 208
Mkuu pumzi imekata?au ushakuwa mhenga umewaachia seat vijanaSalamu zikufikie mhenga aisee
Mkuu pumzi imekata?au ushakuwa mhenga umewaachia seat vijanaSalamu zikufikie mhenga aisee
Alijiuzulu BAADA ya miaka 21!!!!!!Unazungumzia mtu ambaye alijiuzulu akakaa pembeni na kuwaachia nyiye vijana muongoze. Mkaona short cut ni ubinafsishaji kama unavyotaka wewe na kuuwa viwanda kwa kuagizia bidhaa za nje. Unafikiri alishindwa kufanya kama Museveni au Mugabe. Ni ego zipi tena unazozingumzia?
Alijiuzulu BAADA ya miaka 21!!!!!!
Are you that ignorant/blind?
Una maana viwanda vilikufa wakati wa Nyerere au vilikufa watu walipoanza kuvaa mitumba?
Achana na habari ya Babu Seya mbakaji,ongelea mambo mengineYeah mtoa mada hii u make my day,nchi ina heshima na adabu,ukipelekwa jela ni kwa makosa sio visasi vinavyofanyika sasa,watu wanapambikiwa kesi ambazo sio za kwao,Babu Seya ile kesi naamini haukuamuliwa kihalali,DNA TEST ingesaidia kuamua ukweli kuhusu ile kesi,watu hata kwenye dunia ya kwanza wanapanga foleni ni kitu cha kawaida,kipindi hicho our no 1 naye alikuwa anapanga foleni,mmmm Zeni 2017 babu kubwa ukija kwenye muziki wa asili au dansi kila kitu kilikuwa natural sio sasa wanamziki wakiimba lazima wabane pua zao,sikiliza natural voice ya Bitchuka,DEDE(RIP),N.K ,KIPINDI CHA MICHEZO kiliboreshwa zaidi na Abdul Masudi (RIP),yes kipindi hicho tumeishi maisha bora.
Wakati huo tulikuwa tukisikiliza Radio Soroti ya Uganda na zile za Kenya kulikuwa na mtangazaji akiitwa Lenard Mambo Mbotela,alikuwa ni balaa
yeah mkuuMkuu pumzi imekata?au ushakuwa mhenga umewaachia seat vijana