Mkuu
mshana jr hii hesabu iko sahihi sana. Ni nyie tu msiojua.
Unajua kuna hesabu zilizoitwa "
traditional" math, na zile "
modern" math (kama
base2,
base16, nk.).
Sasa hesabu hizi ni zile za zamaaaaaaaaaani sana. Katika hesabu hizi sehemu ya mamia unaweka maelfu na ile ya maelfu unaweka mamia.
Mfano:
2600 = elfu sita na mia mbili,
300 = elfu tatu,
3000 = mia tatu
n.k.
Wengi hapa inabidi mrudi shule, vilaza nyie.