Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,726
- 18,241
Vyuo vizuri Ni vingi. Anataka kusoma diploma ya nini?!
Afya Ni nzuri. Chuo Cha afya kinasifiwa na wengiDiploma ya afya mkuu .lakini kama unafahamu kozi tofauti na afya itamtoa pia ingekuwa vizuri zaidi kunieleza
Anapata au ana sifaKwa muhimbli ,coetics,na kcmc anapata kozi gani?
Muhimbili, kcmc hawatoi hiyo kozi ya clinical medicine....labda Pharmacy, laboratory na radiologyAnapata au ana sifa
Ziko nyingiii kwa kuzingatia
F6 yuko njema na F4 pia yuko pouwa.
Kama F4 ana pass ya Physics na mathematics anaweza kuomba
Clinical Medicine
Vyuo vya private vipo vingi mno anaweza akaomba na akapata... Muhimbili kama huna div. 1 usiguse....Form 6 ndo hio kazingua ila form 4 alipata hivi
Physics D
Bios C
Chem C
Maths C
Hivyo vya private ndo kama vipi ?Vyuo vya private vipo vingi mno anaweza akaomba na akapata... Muhimbili kama huna div. 1 usiguse....
Aombe kati ya hizi tatuHabari wakuu natumaini wazima
Niende moja kwa moja kwenye mada kiufupi mtoto wa kaka yangu yaani mtoto wangu Mimi kama mnavyojua matokeo yametoka Jana ila sio mazuri amepata div3. Pts16 ya PCB yani EES nilikuwa nahitaji msaada wenu kimawazo....
Pitiaa na humu View attachment CAREER AND COURSES TIPS.pdfAombe kati ya hizi tatu
1. medical assistant (Clinical officer)
2. Pharmacy
3. Nursing and Midwifery
Vipo vyuo vingi tu vinatoa achana na Muhimbili na KCMC huko ni kwa wale wa jirani na chuo kwani sidhani kama wana hostel za diploma; Vyuo vipo vingi tu vyenye sifa stahiki...cheki website ya NACTE (Registered and Accredited Institutions)
Lazima chuo kiwe kina tambuliwa na Nacte ili huko baadae iwe rahisi kufanya mitihani na kupata kazi
Nakushauri mpeleke open university akasome foundation course mwaka mmoja, ada ni 640,000 tu,mwakani atapata sifa ya kusoma degree chuo chochote kileHabari wakuu natumaini wazima
Niende moja kwa moja kwenye mada kiufupi mtoto wa kaka yangu yaani mtoto wangu Mimi kama mnavyojua matokeo yametoka Jana ila sio mazuri amepata div3. Pts16 ya PCB yani EES nilikuwa nahitaji msaada wenu kimawazo
Je, ni chuo gani kizuri cha diploma anafaa aende maana hapo uwezo wa kusoma degree hana
Na ningependa vile vyuo ambavyo unalipa malazi na chakula sio vile ambavyo unajitegemea chakula na malazi yaani mfano kupanga
Ni hayo tu wakuu
Asanteni
Foundation Course zilifutwa nafikiri 2016, hebu fuatiliaNakushauri mpeleke open university akasome foundation course mwaka mmoja, ada ni 640,000 tu,mwakani atapata sifa ya kusoma degree chuo chochote kile
Badoo zipoo na official kabisaaaFoundation Course zilifutwa nafikiri 2016, hebu fuatilia
Hivi passing marks za foundation course ni sawa na hizi za huku form six!!Nakushauri mpeleke open university akasome foundation course mwaka mmoja, ada ni 640,000 tu,mwakani atapata sifa ya kusoma degree chuo chochote kile
Zipo mkuu na zinatambulika kisheria,Embu cheki admission book ya TCU ya 2020/21.Foundation Course zilifutwa nafikiri 2016, hebu fuatilia
Pass za Diploma tuHivi passing marks za foundation course ni sawa na hizi za huku form six!!