Mimi Barcelona FC siwapendi hata kuwaona, ila wakifungwa huwa napata burudaaani ndani ya moyo!!
........ndiyo naniiii?
Mimi siipendi yanga,lkn baada ya mechi ya azam nitaendelea kuipenda kama kawa
Hawa yeboyebo kudadadeki zao siwapendi wiki yote hii,ubingwa wenyewe wamebaatisha tu,msuva meenyewe kafunga magoli ya kuotea....azam piga yanga bao 1 tu niburudike mm
Hawa yeboyebo kudadadeki zao siwapendi wiki yote hii,ubingwa wenyewe wamebaatisha tu,msuva meenyewe kafunga magoli ya kuotea....azam piga yanga bao 1 tu niburudike mm
Sikuamini mara ya kwanza wakati nasoma post kuu ya uzi wako, nikadhani akaunti yako imeibwa, kumbe ni wewe mkuu yahoo a.k.a yahooo! Tuko pamoja sana, hata mimi siitakii Yanga ushindi dhidi ya Azam.
Nitafurahi kuona Yanga ikipigwa 1-0 tena bao lifungwe dakika za majeruhi ambapo Yanga hawatapata muda wa kusawazisha.
hawa yeboyebo kudadadeki zao siwapendi wiki yote hii,ubingwa wenyewe wamebaatisha tu,msuva meenyewe kafunga magoli ya kuotea....azam piga yanga bao 1 tu niburudike mm
rais ich kasimamaq dubai kuwapaq haiq yanga akielekea usa wenaniumetokaaawapiiiii ninani. Aliekutumaa kusemaa hayaa naseeeemaaaaaa naseemaaaa unafiki siuweeziiiiii yyanga a daimaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ameni ameni
saa yakukata. Bondelamanenooooo ameeeniiiii??
Hawa yeboyebo kudadadeki zao siwapendi wiki yote hii,ubingwa wenyewe wamebaatisha tu,msuva meenyewe kafunga magoli ya kuotea....azam piga yanga bao 1 tu niburudike mm
Basi mwaka huu utaumia sana
Basi mwaka huu utaumia sana