Ha ha ha...umenivunja mbavu,alafu wachezaji wetu mahili wanahitaji kupumzika baada ya mechi ngumu na etwal
Sikuamini mara ya kwanza wakati nasoma post kuu ya uzi wako, nikadhani akaunti yako imeibwa, kumbe ni wewe mkuu yahoo a.k.a yahooo! Tuko pamoja sana, hata mimi siitakii Yanga ushindi dhidi ya Azam.
Nitafurahi kuona Yanga ikipigwa 1-0 tena bao lifungwe dakika za majeruhi ambapo Yanga hawatapata muda wa kusawazisha.
KITENDAWILI!
kuna wakati wanazi wa yeboyebo fc walikuwa wanadai eti waoka-maandazi fc wa chamazi ndiyo adui yao mkubwa lakini mambumbumbu fc ni mtani wa jadi tu.
sasa yupi anatakiwa aaibishwe zaidi hapa.......adui au mtani?