Hawa yeboyebo kudadadeki zao siwapendi wiki yote hii,ubingwa wenyewe wamebaatisha tu,msuva meenyewe kafunga magoli ya kuotea....azam piga yanga bao 1 tu niburudike mm
Nimekuelewa hivi..
1.Wewe ni shabiki wa simba,
Ulikua unaombea yanga ashinde mechi ya jana,kwenye michezo ya kimataifa,Tanzania utoe timu 3.
Yanga ashiriki klabu bingwa,
Wewe na azam mshiriki shirikisho!
Sio mbaya e.dusael nao walimuomba mungu huyohuyo uliyemuomba wewe,mungu akampa anayestahili!
Usiache kuomba,labda mwakani itakua zamu yako.
2.wewe ni shabiki wa yanga na umechukizwa na kitendo cha timu yako kushindwa kupata matokeo kwa timu ambayo mda mwingi ilicheza pungufu!
So,ndo umemaindi,mtoto kakuchafua mkono,kuukata huwezi,kuuacha na uchafu hivyohivyo huwezi,umenuna!