Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Leo Bungeni ambapo Mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA
Devotha Minja anauliza ''serikali inasemaje kuhusu watu wanaozuia waandishi wa habari kufanya kazi zao mfano tukio ambalo limetokea jana Jijini Arusha?''
Naibu Waziri wa Habari anajibu ''Mimi ndio kwanza ninasikia kama kuna watu wanazuia wanahabari kufanya kazi yao nijulishwe ili tuone hatua za kuchukua"
My take: Naibu Waziri mwenye dhamana ya waandishi, hajui kama kuna waandishi walikamatwa jana. Si ajiuzulu tu huyu?