johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,034
Safi sana bwashee!Namfuatilia kupitia Star TV muda huu
Kumuuliza Mollel(sijaandika Dr. kwasababu wamekana taaluma zao) atoe takwimu za Covid ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya Wazazi waliojifungua bila operesheni.Naona ameulizwa swala la Takwimu juu ya swala la corona , Hataki kujibu swali na Badala yake anatoa mifano mingi, inabidi watangazaji wacheke
Hahahaaaa...... Huyu ni daktari wa binadamu bwashee!Naona ameulizwa swala la Takwimu juu ya swala la corona , Hataki kujibu swali na Badala yake anatoa mifano mingi, inabidi watangazaji wacheke
Very uncalled forMjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv.
Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima.
Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria kwa sababu katika utabibu Ukweli unapatikana Maabara na siyo kwingineko.
Karibu.
Updates;
Ni Daktari wa MenoHahahaaaa...... Huyu ni daktari wa binadamu bwashee!
Ni mng'oa menoNi Daktari wa Meno
Ni daktari wa meno na kinywa ambaye pia ni mwanasiasa.Hahahaaaa...... Huyu ni daktari wa binadamu bwashee!
AkhaaaStructure ya kichwa chake inaonesha namna gani kweli hamnazo kichwani
π πππ€£Kumuuliza Mollel(sijaandika Dr. kwasababu wamekana taaluma zao) atoe takwimu za Covid ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya Wazazi waliojifungua bila operesheni.