naibu Waziri ananguvu sana kimamlka katika wizara inayomuhusu kitaifa na kiprotocal Mkuu wa mkoa mdgo kwa wazr au naibu Waziri, y a jidai kukemea vyombo vya habari wakati ofisi ya Mkuu wa mkoa imewapa uhuru pale ofisin kuchukua matukio. ...amkee makonda na ofisi yake moja kwa moja thus simpleee
Mkuu hili wote tunalijua na ni kwa mujibu wa katiba yetu pendwa lakini uhalisia wa mambo hasa nyakati hizi ambazo some privileged carry laws on their own hands mambo ni kinyume. Sitashangaa ndani ya siku chache huyu naibu waziri yakimkuta ya kumkuta kutokana na kauli yake hii ya kumpinga prince wetu.