Hahaa Naibu Rais!Kwa usemi wako ninadhani kurudisha work ethics was the fundamental factor kuliko naibu rais ooh sorry mkuu wa mkoa kujitwisha jukumu hili.
Binadamu hamna jema.
Wezi wakitamalaki kunakuwa na lawama "kwa nini hawadhibitiwi."
Nikijitokeza kaka yako kuwakamata hawa wezi unanilaumu eti kwa nini nisingewaachia POLISI wafanye hivyo?
Haya bwana.