Naibu waziri na ulinzi mkali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri na ulinzi mkali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Jul 22, 2011.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Natokea Igunga kuelekea Dodoma. Gari yetu, kama nyingine zote inasimamishwa katika 'diversion' na gari ya polisi wenye mitutu wazi. Gari yao inatupita kasi na nyuma yake kuna shangingi jeupe nalo kasi.Najutahidi kusoma namba zake japo kuna vumbi naona NW - MNM. Dereva wangu anarudisha gari barabarani baada ya vumbi kupungua na kuniacha nikijiuliza NW anayelindwa kiasi hiki ni nani na kwa sababu gani?
   
Loading...