Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj


G

George Smiley

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Messages
471
Points
225
G

George Smiley

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2011
471 225
hii imetoka kwenye twitter page ya mheshimiwa January. Mwanasiasa/waziri toka serikali ya tanzania anayeoongoza kwa kuwa na wafuasi wengi zaidi kwenye Twitter.

Hivi can you imagine waziri kama Samuel Sitta au Mwanasiasa kama Freeman Mbowe atembee na bajaj? 
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
13,789
Points
2,000
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
13,789 2,000
Muangalie tena January usoni kwenye hiyo picha...Ni kweli anafurahia kuwa katika usafiri huo !? nahisi kama anamkaripia huyo anayempiga picha akiwa kwenye usafiri huo.
 
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
2,878
Points
1,500
Age
39
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined Jul 30, 2011
2,878 1,500
Angekuwa kiongozi yoyote wa cdm,asingethubutu kupiga picha kwenye bajaji ya rangi ya kijani au njano!
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
39,299
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
39,299 2,000
Kama mtu sio muadilifu alafu analala juu ya mti na kuvaa magome ya mti na kula mizizi na matunda ataendelea kuwa sio muadilifu tu.
Huyu January hata akila yale makande yanayouzwa kwenye ndoo bado tutaendelea kumuona ni fisadi mtoto na mwevi kwa sababu kweli mtu huyu ni mwevi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sooth

Sooth

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2009
Messages
3,765
Points
2,000
Sooth

Sooth

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2009
3,765 2,000
..Mi nilidhani ni utani tu kumbe kweli hata yeye anautaka urais!? 2015 kuna kuna kazi!
 
M

mdunya

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Messages
762
Points
0
Age
39
M

mdunya

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2012
762 0
May I inform Mr January that currently there is a big shortage of foolish Tanzanians he can cheaply be fooling around...
one of them is George Smiley who started the thread!
 
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
4,443
Points
1,500
Age
33
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
4,443 1,500
Anajifanya kupiga picha kwenye Bajaji ili apate kuonekana anajali masikini. Kuna siku nilimkuta Chalinze anajifanya ananunua chipsi kavu na vitumbua, lakini alipofika mbele kidogo ya Bwawani akavimwaga vyote nje ya gari.
 
mtumishidc

mtumishidc

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
511
Points
225
mtumishidc

mtumishidc

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
511 225
Naibu waziri...

If only mawaziri wengine wangeweza kuwafikiria walipa kodi na kuiga mfano wa Naibu waziri Kijana Ndugu January Makamba.

Hivi mawaziri wetu wanavyopenda anasa wangekuwa kama January tungekuwa mbali sana.

Huyu ndiye Rais nimtakae.
kwa kupanda bajaj tu ametosha kuwa rais kwako?
 

Forum statistics

Threads 1,294,401
Members 497,915
Posts 31,174,804
Top