Invisible Robot Joined Feb 26, 2006 Posts 16,285 Reaction score 8,468 Aug 7, 2012 #1 Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Abdallah Abdallah amepata ajali mbaya maeneo ya Kongowe (Kibaha). Hali yake si mbaya sana, amepata majeraha kidogo kichwani lakini dereva wake yupo hali mbaya kakimbizwa Tumbi Hosp. Napenda kumpa pole kwa ajali hii, na kumtakia dereva wake afya njema, apone na kurejea kazini Yeye kasalimika! Dereva akiwa Tumbi Waziri Membe akimjulia hali Dereva wa Naibu Waziri hospitalini Tumbi Mhe. Mwantumu Mahiza alikuwepo pia Attachments IMG-20120807-WA0002.jpg 29.7 KB · Views: 2,591 IMG-20120807-WA0003.jpg 26.1 KB · Views: 2,563 IMG-20120807-WA0004.jpg 27.5 KB · Views: 904 IMG-20120807-WA0005.jpg 21.4 KB · Views: 2,606 mahiza-alikuwepo.jpg 52.7 KB · Views: 795 kapona.jpg 54.6 KB · Views: 832
Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Abdallah Abdallah amepata ajali mbaya maeneo ya Kongowe (Kibaha). Hali yake si mbaya sana, amepata majeraha kidogo kichwani lakini dereva wake yupo hali mbaya kakimbizwa Tumbi Hosp. Napenda kumpa pole kwa ajali hii, na kumtakia dereva wake afya njema, apone na kurejea kazini Yeye kasalimika! Dereva akiwa Tumbi Waziri Membe akimjulia hali Dereva wa Naibu Waziri hospitalini Tumbi Mhe. Mwantumu Mahiza alikuwepo pia
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,313 Reaction score 144,688 Aug 7, 2012 #2 Nini sababu ya ajali?
Biohazard JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 2,197 Reaction score 1,471 Aug 7, 2012 #3 Duu.....! ni habari ya kusikitisha Nawaombea wapone haraka.
mtotowamjini JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 4,525 Reaction score 1,179 Aug 7, 2012 #4 isije ikawa free mason wanataka kumtoa mtu kafara maana mhh
Invisible Robot Joined Feb 26, 2006 Posts 16,285 Reaction score 8,468 Aug 7, 2012 Thread starter #5 Najaribu kuambatanisha na picha ya gari lake
Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,910 Reaction score 445 Aug 7, 2012 #6 Wapone haraka, nini chanzo cha ajali?
S Sessy Senior Member Joined Jun 16, 2012 Posts 118 Reaction score 11 Aug 7, 2012 #7 tunampa pole ninamuombea Apone haraka
Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,910 Reaction score 445 Aug 7, 2012 #8 Invisible said: Najaribu kuambatanisha na picha ya gari lake Click to expand... Tunasubri
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,360 Aug 7, 2012 #9 Invisible said: Najaribu kuambatanisha na picha ya gari lake Click to expand... Mkuu naamini kwako muda mrefu tutapata full covarage, poleni sana majeruhi. Mungu awaponye.
Invisible said: Najaribu kuambatanisha na picha ya gari lake Click to expand... Mkuu naamini kwako muda mrefu tutapata full covarage, poleni sana majeruhi. Mungu awaponye.
K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 Aug 7, 2012 #10 Invisible said: Najaribu kuambatanisha na picha ya gari lake Click to expand... Sahihi kabisa mkuu hapo ndo thread itakamilika, huyu naibu mzanzibari eee?
Invisible said: Najaribu kuambatanisha na picha ya gari lake Click to expand... Sahihi kabisa mkuu hapo ndo thread itakamilika, huyu naibu mzanzibari eee?
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Aug 7, 2012 #11 Du! pole zao kwa kweli, tunawaombea wapone haraka
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,182 Reaction score 111,124 Aug 7, 2012 #12 dah! kibaha kwa ajali naona inshindana na bagamoyo, handeni na maeneo fulani ya hai(sadal, boma)...anyway Mungu awape uzima warejee katika afya njema.
dah! kibaha kwa ajali naona inshindana na bagamoyo, handeni na maeneo fulani ya hai(sadal, boma)...anyway Mungu awape uzima warejee katika afya njema.
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 685 Aug 7, 2012 #13 Haya mashangingi ya v8 wanayonunua kwa kudhurumu watanzania itakuwa sara zimefika kwa Mungu :A S 101:
Haya mashangingi ya v8 wanayonunua kwa kudhurumu watanzania itakuwa sara zimefika kwa Mungu :A S 101:
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,323 Reaction score 7,392 Aug 7, 2012 #14 Du! Dereva kama angekuwa na jimbo!!!!!!
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Aug 7, 2012 #15 Huyu mzenji alijitahidi sana kujibu maswali kwa ufasaha wakati wa bajeti yao
KOMBAJR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 5,827 Reaction score 1,276 Aug 7, 2012 #16 Mungu hamjalie kupona haraka.
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 10,027 Reaction score 5,862 Aug 7, 2012 #17 pole zake
K kachwamayebe Member Joined Jul 31, 2012 Posts 16 Reaction score 1 Aug 7, 2012 #18 Nampa pole sana,alikuwa anatoka wapi anakwenda wapi,walikuwemo watu wangapi katika gari,yeye mh, kapelekwa wapi na imetokea{ajali} saa ngapi
Nampa pole sana,alikuwa anatoka wapi anakwenda wapi,walikuwemo watu wangapi katika gari,yeye mh, kapelekwa wapi na imetokea{ajali} saa ngapi
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Aug 7, 2012 #19 Dereva tumbi,Naibu india
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 3,036 Reaction score 8,394 Aug 7, 2012 #20 KOMBAJR said: Mungu hamjalie kupona haraka. Click to expand... Hapo kwenye nyekundu ilitakiwa isomeke 'amjalie'
KOMBAJR said: Mungu hamjalie kupona haraka. Click to expand... Hapo kwenye nyekundu ilitakiwa isomeke 'amjalie'