Naibu Spika Dk Tulia Ackson aibuka mshindi kwenye mashindano ya Wabunge Afrika Mashariki

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,607
2,000
Wadau
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Dk.Tulia Ackson ameibuka mshindi wa kwanza katika mchezo wa kutembea kwa haraka katika mashindano ya nane ya Wabunge wa Mabunge ya Afrika Mashariki yanayoendelea katika uwanja wa Taifa Dar es salaam.
 
LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615

Huyu dada anajitahidi sana kujitangaza ila watu ndio hawampendi....Mara Dr Tulia Marathon,mara sijui tamasha,sijui ngoma za asili,nk...dada ana gundu sana hamnaga mtu anamtaka...hana superstar appeal aisee....kibaya aliingia vibaya sana kwa nguvu kubwa ya watawala na anafanyakazi kuufurahisha utawala,kajijengea msingi wa kifala sana....

she will never amount to anything..wananchi tunamsubiri kwa hamu sana aje uchaguzini huku jimboni tumpe za uso aelewe kwamba maharage ni mboga.....
 
ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,478

Unamaana mpaka mumewe hampendi!au siyo mtu labda.
 
LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615
2,000
Unamaana mpaka mumewe hampendi!au siyo mtu labda.

Mkuu sijasema watu wote..na mume wake una uhakika gani kua anampenda as we speak?Mume na mke kwenye ndoa sio wote wanapendana mkuu.......plus,huyo dada kwa ubaya alionao,na kwa staili ya kulamba miguu ya mtawala,aisee ni political failure tu...aje jimboni huku tumtoe kamasi
 
ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,478
2,000
Mkuu sijasema watu wote..na mume wake una uhakika gani kua anampenda as we speak?Mume na mke kwenye ndoa sio wote wanapendana mkuu.......plus,huyo dada kwa ubaya alionao,na kwa staili ya kulamba miguu ya mtawala,aisee ni political failure tu...aje jimboni huku tumtoe kamasi
Lakini mkuu,umesema hamna mtu anamtaka.nikajiuliza hata mama yake hamtaki? Nadhani ungesema tu kuwa wewe humpendi ingeeleweka kirahisi.
 
ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,478
2,000
Mshua unanielewa sema basi tu.....
Nakuelewa sana,sema tu ni kama unakatabia ka kuwavunja watu moyo. Wewe mwache afanye yake na huko sijui ni tukuyu or wherever akija mpeni hizo za chembe mlizingatia hafi njaa ni dk wa sheria akikosa kazi serikalini hata uwakili atafanya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom