Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa anusurika kuuawa

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
19,079
Reaction score
9,245
images-620x308.jpg

Dady Igogo, Diwani wa Gangalonga ambaye pia ni Naibu Meya wa Manispaa wa Iringa

NAIBU Meya wa Manispaa ya Iringa ambaye ni Diwani wa Kata ya Gangalonga (Chadema), mkoani Iringa Dady Igogo, amenusururika kuwa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).

Igogo ameeleza kuwa ametishwa kutokana na mfululizo wa matukio hayo amedai kuwa ni kiashiria kibaya cha amani.

Anasema kuwa amesikitishwa na kitendo hicho kutokana kuwa kinaviashiria vya ubaguzi wa kisiasa ambapo ameeleza kuwa alivamiwa na vijana wenye pikipiki ambapo walimshambulia.

“Wakati narudi nyumbani nilisimamishwa na pikipiki kama nne waliokuwa kama wanataka kuniuliza jambo. Nilifungua kioo! Ghafla walinivamia na kuanza kunipiga na kunitoa kwenye gari. Niliacha gari na kufanikiwa kukimbia kwa miguu.

“Walichukua simu yangu, pamoja na kuchomoa ufunguo wa gari wakaondoka. Wakati wananipiga walikuwa wanasema ‘kahamishe makaburi ya kwenu’,” ameeleza Igogo.

Amesema kuwa amesikitishwa pia baada ya kuuwawa kwa kiongozi wa Chadema Kata ya Hananasif Daniel John. “Inaumiza sana. Sijui Mama yake Ben Saanane yuko katika hali gani?”

Ameeleza kuwa kuendelea kuwa mwanasiasa wa upinzani ni hatari ambapo hata baadhi watendaji wamekuwa vinara wa kufanya ubaguzi wa kisiasa nchi akimtolea mfano Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti ametoa tamko la wazi kuwa anawabagua wapinzani.

Habari ambazo hazitathibitishwa zinadai kuwa Igogo amejiuzuru nafasi yake ya Unaibu Meya wa Manispaa ya Iringa, sababu za kujizuru kwake hazijafahamika.

Chanzo: Mwanahalisi
 
Sasa kumbe anaugomvi wa makaburi!!! Sasa siasa inakujaje?

Halafu mara aseme habari za Daniel hapohapo mama yake Ben Saanane!!!!

Hivi siyo huyu jana niliskia katangaza kujiudhuru unaibu meya!?
 
Kuna sehemu tumekosea na hatuna haja kulalamika ila kurekebisha makosa kwa gharama halisi za makosa yetu.
 
Kwa mambo yanayoendelea sasa hivi na kasi ya watu wasiojulikana inakupasa kama unajua unahusika na siasa unapaswa kuchukua extra tahadhari (kusimamishwa na pikipiki nne wakiulizia kitu) its very risk.

Pole sana Mh. Dady
 
Ubaguzi wa rangi ya ngozi naona hauna chuki kama ubaguzi wa rangi za vyama vyetu,lakini kwa nini ?
 
Dady Igogo ni mlevi Mbwa.

Hizi akili za kinyesi mnazitoa wapi?
Talk about ISSUES not PERSONAL and EVENTS....!!!Kuna Mitanzania hasa hii iliyokunywa maji ya bendera ya kijani......haijielewi na haijitambui..!!Mtu ameleta hoja ya kutaka kutekwa,jaribio la kumwuua au kupigwa badala ya kutaka kujua nani anahusika na uunyama huo mijitu inaanza kumshambulia mlalamikaji.....!!!!
Non-sense and Pumbaf zenyu!!!
 
Hii habari sijui nimeisoma nikiwa nimebinuka kichwa juu miguu chini au ni mwandishi kaiandika hivyo hivyo!!?
 
images-620x308.jpg

Dady Igogo, Diwani wa Gangalonga ambaye pia ni Naibu Meya wa Manispaa wa Iringa

NAIBU Meya wa Manispaa ya Iringa ambaye ni Diwani wa Kata ya Gangalonga (Chadema), mkoani Iringa Dady Igogo, amenusururika kuwa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).

Igogo ameeleza kuwa ametishwa kutokana na mfululizo wa matukio hayo amedai kuwa ni kiashiria kibaya cha amani.

Anasema kuwa amesikitishwa na kitendo hicho kutokana kuwa kinaviashiria vya ubaguzi wa kisiasa ambapo ameeleza kuwa alivamiwa na vijana wenye pikipiki ambapo walimshambulia.

“Wakati narudi nyumbani nilisimamishwa na pikipiki kama nne waliokuwa kama wanataka kuniuliza jambo. Nilifungua kioo! Ghafla walinivamia na kuanza kunipiga na kunitoa kwenye gari. Niliacha gari na kufanikiwa kukimbia kwa miguu.

“Walichukua simu yangu, pamoja na kuchomoa ufunguo wa gari wakaondoka. Wakati wananipiga walikuwa wanasema ‘kahamishe makaburi ya kwenu’,” ameeleza Igogo.

Amesema kuwa amesikitishwa pia baada ya kuuwawa kwa kiongozi wa Chadema Kata ya Hananasif Daniel John. “Inaumiza sana. Sijui Mama yake Ben Saanane yuko katika hali gani?”

Ameeleza kuwa kuendelea kuwa mwanasiasa wa upinzani ni hatari ambapo hata baadhi watendaji wamekuwa vinara wa kufanya ubaguzi wa kisiasa nchi akimtolea mfano Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti ametoa tamko la wazi kuwa anawabagua wapinzani.

Habari ambazo hazitathibitishwa zinadai kuwa Igogo amejiuzuru nafasi yake ya Unaibu Meya wa Manispaa ya Iringa, sababu za kujizuru kwake hazijafahamika.

Chanzo: Mwanahalisi
Chadema mkiendelea kuwa wanyonge mtakwisha , kuna haja ya KUHITIMISHA mambo .

Kama mbwai iwe mbwai tu .
 
Bora kama kajiuzuri uhai ni bora za this country is real doomed
 
images-620x308.jpg

Dady Igogo, Diwani wa Gangalonga ambaye pia ni Naibu Meya wa Manispaa wa Iringa

NAIBU Meya wa Manispaa ya Iringa ambaye ni Diwani wa Kata ya Gangalonga (Chadema), mkoani Iringa Dady Igogo, amenusururika kuwa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).

Igogo ameeleza kuwa ametishwa kutokana na mfululizo wa matukio hayo amedai kuwa ni kiashiria kibaya cha amani.

Anasema kuwa amesikitishwa na kitendo hicho kutokana kuwa kinaviashiria vya ubaguzi wa kisiasa ambapo ameeleza kuwa alivamiwa na vijana wenye pikipiki ambapo walimshambulia.

“Wakati narudi nyumbani nilisimamishwa na pikipiki kama nne waliokuwa kama wanataka kuniuliza jambo. Nilifungua kioo! Ghafla walinivamia na kuanza kunipiga na kunitoa kwenye gari. Niliacha gari na kufanikiwa kukimbia kwa miguu.

“Walichukua simu yangu, pamoja na kuchomoa ufunguo wa gari wakaondoka. Wakati wananipiga walikuwa wanasema ‘kahamishe makaburi ya kwenu’,” ameeleza Igogo.

Amesema kuwa amesikitishwa pia baada ya kuuwawa kwa kiongozi wa Chadema Kata ya Hananasif Daniel John. “Inaumiza sana. Sijui Mama yake Ben Saanane yuko katika hali gani?”

Ameeleza kuwa kuendelea kuwa mwanasiasa wa upinzani ni hatari ambapo hata baadhi watendaji wamekuwa vinara wa kufanya ubaguzi wa kisiasa nchi akimtolea mfano Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti ametoa tamko la wazi kuwa anawabagua wapinzani.

Habari ambazo hazitathibitishwa zinadai kuwa Igogo amejiuzuru nafasi yake ya Unaibu Meya wa Manispaa ya Iringa, sababu za kujizuru kwake hazijafahamika.

Chanzo: Mwanahalisi
Ulichoandika ni aina flani ya uongo na uzandki wenye lengo la kuleta tahaluki baada ya chadema kuishiwa ubunifu wa sera na kuona chama kinajiishiria, ije onekana mlishindwa kwa kugandamizwa wakati si kweli.
Gia ya angani ni laana kuu kwa chadema.
Dr Slaa anawagharimu tena, mlichomfanyia hakitawaacha salama
 
Habari zilizotapakaa jana nikweli amejiuzuru. Kweli ni mlevi sana, kwa kiongozi kama yeye hakutakiwa kuwa chapombe mpaka unashindwa kujitambua maana unaweza lishwa maneno na ukatoa siri nyingi za kiofisi. Pia CDM walikosa mtu sahihi kushika hiyo nafasi ya unaibu meya.
 
Kumbe walitaka kumteka kwasababu ya ulevi?
 
Back
Top Bottom